Hati ya utambuliho!

Hati ya utambuliho!

Emil Mwangwa

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
124
Reaction score
25
Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
 
Karibu sana, ila zingatia kanuni na sheria za jamvi!
 
umefanya vema,
pia kwa kuwa umeonyesha kuipenda jf, onyesha upendo wako zaidi kwa kushiriki kuichangia jukwaa, linahitaji mchango wako wa kifedha.
Enjoy the fruits of the carpet
 
Karibu saana member ambae hatimae umekua mwenyeji...
 
Back
Top Bottom