Picha na Matukio Mgogoro wa Efatha Jumatatu ya Pasaka!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha na Matukio Mgogoro wa Efatha Jumatatu ya Pasaka!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Emil Mwangwa, Apr 20, 2012.

 1. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Walinzi wawili wa Kiwanda cha Afroplus Mwenge walitekwa na Wafuasi wa Mwingira Efatha mwenge na kufanyiwa Unyama mkubwa pamoja na kungwa kamba na kukatwa mdomo na Jambia angalia picha hizi!!!
  Ni bora jamii ikaelezwa Ukweli juu ya unyama huu ili watu wawajibike kuondoa kinyongo kwa wahusika.

  PIA Mwaandishi wa habari Bwa Abdukarim Msengakamba (0774 321366) alipigwa na Waumini wa Efatha Juma tatu ya Pasaka na ameteguka na kwa sasa anashindwa kutembea!!
   
 2. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  basi ingekua waislam hapo ungeskia
  oooh magaidi,wana vurugu..!wana mapepo..!
  Shutuma kibao,,mungu huwaumbua wapotevu na waerevu hapa hapa ulimwenguni,,
  haya sasa mtume gani huyo anashupalia mambo kama hayo,??uislam magaid wafanye wengne lawama tupewe sie na propaganda za wamarekani na west
  itafahamika tuh,twenden hvi hiv
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  get well soon bros.
   
 4. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Operation ya kubomoa kiwanda ilipangwa na mwingira eneo la kibaha wahalifu walisafiri na basi la efatha benk hadi mwenge
   
Loading...