Ridhiwani Kikwete anatajwa kufadhili manunuzi ya gari la Lulu !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani Kikwete anatajwa kufadhili manunuzi ya gari la Lulu !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emil Mwangwa, Apr 27, 2012.

 1. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari.
  Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Nani amesema?
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo ?????
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kama ni kweli inamaana na yeye ni kigogo wa serikali?
   
 5. MimiT

  MimiT JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 603
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  watu mna mambo! wewe uliiona hiyo message? toa source ya habari yako
   
 6. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sema hii ni tetesi! Inasemekana hiyo sms ilikuwa inasemaje?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Achaneni na huyo dogo, mnampa umaarufu wa bure huyo dogo!!!!!
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]

  Katika viambatanisho vya habari ambavyo nimesoma katika mada nyingine mtoa mada amefanya attachment, kuna wingu zito linaloonekana kutanda kifo cha Kanumba kumhusisha Ridhiwani kutokana na kuonekana mawasiliano ya simu kati ya Lulu na kijana huyo anayesemakana alimnunulia gari Lulu.


  Nisingekubaliana na wanaopinga habari hizi kuendelea kusizoma kwa vile jambo la kifo si la kupata undani kwa siku moja, huchukua muda kuchukua vipeperushi kadhaa na wahusika kadiri hali inavyozidi kupoa mengi hujitokeza. Na sasa mtajwa katika mada hii ameonekana kutajwa katika vyombo vingine vya habari na haja kudokezwa kwa mbali na moja siku za awali katika mtandao huu wa JF.

  Mara moja nilipokuwa masomoni nchini Marekani, tukiwa na rafiki yangu mzungu ambaye alikuwa na gf mtanzania wa asili ya Kando ya mlima mrefu barani Afrika, ambaye tulijumuika pamoja park kujipumzisha na kula lunch, kijana yule mzungu ambaye baadaye aliitwa kando kuongea na kakake mambo ya kifamilia, yule dada mtanzania aliniambia kwake kuhusiana na watu mbalimbali si jambo geni kwa vile alipokuwa anasoma Tambaza Highschool alizoea kuchukuliwa na magari ya Ikulu ambayo yana vioo visivyoonyesha mtu ndani na kupelekwa kujinafsi na mtoto wa Mkuu wa nchi wa awamu iliyomtangulia Mkulu wa sasa. Mtoto wa Mkulu huyo hakuna mwenyewe kumchukua ila wapambe na watumishi wa Ikulu ndio waliokuwa wanafanya kazi hiyo. Sikuonyesha kushtuka sana hilo nisionekane mshamba, ila tu kwa ustaarabu wangu nikaanza topic nyingine kwani sikupendelea aendelee kuongelea haya kwani ni mambo yake binafsi yasiyonihusu.

  Kwa vyo vyote wenye nafasi hutumia uwezo wao kuwarubuni wasichana kwa vile nafasi, uwezo na mazingira yanawafanya wasichana wawapaparikie. Na mwenzangu mimi Marehemu Kanumba sidhani kama alifikia uwezo wa kumnunulia gari Lulu, hivyo mwenye nafasi alikuwa na nguvu zaidi kwa sababu ya pesa si penzi. Matokea yake kuzidi kumng'ang'ania asiyekuwa na malengo ya kweli kimapenzi yamehitimisha kukatisha maisha wakati familia, taifa na ulimwengu bado unamhitajir msanii guli.
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  We tutatujajie mali za RIZIWANI na alivyozipata na si personal relationships na SMS zake. Ana haki kikatiba kuhusiana na yeyote yule apendavyo
   
 10. Sir oby

  Sir oby JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  duuuh huyu lulu sasa, kila mwanaume amepita na amenunua gari kama sio nyumba, and she is just 17, may be kuna mengi yangetokea, but lets hope atatoka jela ili tuone hali iatakuiwaje,
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Uzi huu wadhalilisha familia ya Mkuu wa nchi wakati alisikitika kifo cha Kanumba na kwenda kuhani msiba wake,
   
 12. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Upelelezi wa Kibongo ndo hapo unachoka,,ilikuwa muhimu sana kushikilia simu ya mtoto wa kichaga el;izabeth,marehemu Kanumba mwenyewe kucross chek
   
 13. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inawezekana bwana, maana nasikia huyu dogo ni km samsung DUOS, inabeba line mbili kwa mpigo(watu wanakula mbele na nyuma).Mara Komba oooh Ray daah kaazi kweli kweli.
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unasemaje huo ujumbe?
   
 15. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama Shigongo vile (udaku)?
   
 16. A

  Adaha Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wahenga wanasema. Ukitaka kujua tabia za mtu mpe pesa nyingi au madaraka.
   
 17. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  ulitaka riz amnunulie dadako
   
 18. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wote ni Freemasons kwa hiyo sio ajabu.Jamaa hawa wanatabia ya kusaidiana katika kila hali.
   
 19. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Makubwa!
   
 20. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  hata mie nimesikai na wewe kanumba alikutumia msg kabla hajafa
   
Loading...