Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emil Mwangwa, Apr 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

  Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

  Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
  Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

  Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
  Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

  Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
  Source: Gzt la Dira & Makao CCM
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Maswali mengi kuliko majibu.......duuu
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ngoja Nape aje aseme lolote
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Who cares about vuvuzela Nape?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wacha viumane tu.... sasa mtu unalala na rostam, unategemea nini kama sio kutumiwa tu
   
 6. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  hii kali yake
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Nepi ane kumbe mlaji eeeeeeeehh
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wasipokuwa makini RA na EL watawamaliza wale wote wanaoonekana kuusakama ufisadi wao.
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  mbwa kala mbwa
   
 10. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  duh hii kali!
   
 11. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  aibu kwa nape na rostam kutembea na mwanamke kwa nia ya kumtumia, haki kwa mwanamke ipo wapi?
   
 12. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naye ajibu mapigo kama wengine walivyosema.

  Tunaomba mawazo yake tafadhali kaa kweli.
   
 13. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Harakati za kuzuia Ukimwi zimekwama viongozi wetu wanakimbizwa India na mawaziri wanajilimbizia mali , hawana mipango ya kuendeleza nchi kwani wanajua ni wagonjwa Tusipochukua hatua tutakwisha. Waziri Malima ameibiwa na kahaba anagalieni huu Msiba wa Kukwete hapa!!!!!!!!!!!!!1

  [​IMG]
  Jakaya Kikwete Kairisha safari zote baada ya kupata taarifa za Msiba wa Kanumba!!!​
  Candid Scope likes this.
   
 14. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  aya bwana!
   
 15. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Hii story ya muda mrefu na ina makona mengi. Mara huyo Changudoa katoroshewa South Africa, mara Sycheles n.k.
  Mara Nape kamwambia bibi huyo amwite RA na kuweka loud speaker, na Nape akasikia RA akiapa kuwa lazima ammalize!
  Mara bibi aseme sumu hiyo ameishawekewa mmiliki wa gazeti la Dira na watu wengine makini. Mara Ohhimh hata Mkuu wa Kaya alipelekewa kimwana kilichopewa sumu kali, lakini akachomoa na kuagiza kikamatwe. Mara Mkuu wa Kaya akaenda kwa wakwe zake Lindi kulalamika kuwa EL na RA wanataka kummaliza? Maneno mingi sana, amueni wenyewe kama kuna credibility katika maneno haya. Moja la uhakika ni kuwa Nape anapenda sana vimwana, ni rahisi kulishwa chochote. Haya maneno nimemwambia mara kadhaa, hatki kunisikia. Sasa haya hapa yamefika chomboni JF.
   
 16. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  RA hawezi fanya dili la kijinga kiasi hicho,naona Nape anatafuta umaarufu wa kijinga kama walivyo wasanii wetu wa bongo!
   
 17. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Malaya kaachwa hana uelekeo
   
 18. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  tena issue ilvokaa kwa watz kisha atumie binti wa uwanja wa fisi thubutu
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
 20. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Rostam anashare na dogo demu??
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...