Search results

  1. S

    Dawa ya Bawasili

    Habari! Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona. DAWA 1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba (unavyoitwa huku Pwani) 2.Mizizi ya miti ya mifenesi. MATUMIZI 1. Kata vipande vidogo vidogo vya mzizi...
  2. S

    Nauza Magic Pen

    Jipatie Magic pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana Kitunda - Dar es Salaam kwa bei ya sh 500, karibuni sana Tupigie 0714444844
  3. S

    Mwanaume smart &Busy lazima use nacho hiki kifaa

    Habari Wana JF? Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda. Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER. UMUHIMU WA KIFAA...
  4. S

    SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  5. S

    Google kusitisha malipo kwa njia ya Western Union

    Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema mwa mwaka kesho (2021) watasitisha rasmi malipo kwa njia ya Western Union. SWALI : Western Union...
Back
Top Bottom