Pen - cilToa maelezo vzr mkuu! Pen nyingi hasa za primary zinaandika na kufuta pia zina kifutio kwa nyuma! Hizo zako zipoje??
Zina sifa kama ulivyoandikaToa maelezo vzr mkuu! Pen nyingi hasa za primary zinaandika na kufuta pia zina kifutio kwa nyuma! Hizo zako zipoje??
Pen au pencil?
pen BossPen au pencil?
Ni Pen BossPen au pencil?
Kwenye karatasi MkuuKuandika wapi ? Ubaoni ,kwenye paper au ?
Ni Pen mkuuPen - cil
Mkuu umeamua utaje kitu unachopenda.😁😁Bongo buana, mtu biashara yake mwenyeweeeee, kimnembe kinakuja namna ya kuitangaza ili watu wavutike kununua...
Mkuu umeamua utaje kitu unachopenda.😁😁
Asante sana kwa ushauri, Mungu akubaliki sana.mkuu maelezo hayajitoshelezi yaani nikushauri hivi:
Jipatie pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana .................... kwa bei ya sh............ karibuni sana
Unauzaje hizi kalamu bossMagic Pen ni peni zenye uwezo wa kuandika na kufuta ni Tsh 500/= tu
Call us : 0714444844
View attachment 2736572View attachment 2736573
Tsh 500/= Kwa Kila Moja Boss.Unauzaje hizi kalamu boss