Search results

  1. PILSNER

    Hongera Yeriko Nyerere kwa kutwaa Tuzo

    (hapa inakaaga salamu) Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria. Umepeperusha bendera ya Tanzania ==== Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa...
  2. PILSNER

    Over thinking au ni stress zangu tu...!!?

    Mwagona Miaka Kama kadhaa nyuma nilipitia wakatii mgumu Sana kimaisha kiasi kwamba nikaanza tabia ya kujitenga na watu wa rika yangu. Hali hiyo iliendelea kukomaa taratibu imefika kipindi najiona Mimi ni watofauti Sana na wenzangu (in positive way) Kinachonisumbua kwa Sasa hivi naona Kama...
  3. PILSNER

    iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

    Mwagona. Ujio wa matoleo ya iPhone kwa Tanzania huwa ni msiba mkubwa hasa Wazazi Wanaume na makaka. Kwani hicho ndo huwa visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu. Tujiandae kusikia matukio ya hawa ndugu zetu ambayo chanzo ni tamaa. Uzi tayari .
  4. PILSNER

    Tecno c8 inauzwa

  5. PILSNER

    Msaada

    Wasalaaam Wakuu nimechukua fomu ya kujiunga na chuo cha veta kwa mwaka 2020 lengo langu nisome kozi ya HEAVY DUTY EQUIPMENT MECHANICS lakini nilipo kuja kuangalia form course hiyo haipo kwenye chuo cha veta mbeya. Je ni fani gani nyingine inayoweza kunipa kazi au kipato kwa haraka...
  6. PILSNER

    Natafuta kazi yoyote halali

    Wasalaam Mimi na kijana mwenye umri wa miaka 20 niko mbeya. Natafuta kazi yoyote halali ili mradi tu iniingizie kipato cha kujikimu na hali ya maisha. Elimu yangu ni kidato cha tatu kwa bahati mbaya nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na kukosa ada huku mimi nikiwa ndo tegemezi katika...
  7. PILSNER

    Nikopesheni 7000\=

    Wasalaam Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na mbili. Nilikuwa nafanya kibarua nimefukuzwa na bosi anadai anataka kupunguza watu. Hata hii simu...
  8. PILSNER

    Salam zangu ziwafikie watu wafuatao

    Wasalaam Kama kichwa kinavyojieleza salam zangu ziwafikie watu wafuatao; •Wanaume wote wanao fanya scrub na kufanya make up. •Wanaume wote wanao tumia emoji kama hii •Wanaume wote wenye selfie stick •wanaume wote ambao mna dressing table •mwanaume ambaye ukimaliza kuoga unavua nguo zote na...
  9. PILSNER

    Jf members

    Nimekua mfuatiliaji wa mda mrefu sasa najiunga rasmi Naomba ushirikiano
Back
Top Bottom