Over thinking au ni stress zangu tu...!!?

PILSNER

JF-Expert Member
May 16, 2018
428
740
Mwagona

Miaka Kama kadhaa nyuma nilipitia wakatii mgumu Sana kimaisha kiasi kwamba nikaanza tabia ya kujitenga na watu wa rika yangu.

Hali hiyo iliendelea kukomaa taratibu imefika kipindi najiona Mimi ni watofauti Sana na wenzangu (in positive way)

Kinachonisumbua kwa Sasa hivi naona Kama umekua too much mpaka inafika muda nashindwa kujifunza Mambo mapya kwani nimekua ni mtu wa kuifikiria jambo dogo kwa muda mrefu

Yaani unaweza kuniambia jambo nikaritafakari kwa undani
kiasi kwamba nikija kurudisha akili hivi nakuta mambo mengine yameshanipita

Naomba kama hili ni tatizo la akili au ni Hali ya kimaumbile kwani Kuna muda hii unanipa shida Sana



Pilsner.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom