Nikopesheni 7000\=

Nikopesheni 7000\=

PILSNER

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
435
Reaction score
760
Wasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu

Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na mbili.

Nilikuwa nafanya kibarua nimefukuzwa na bosi anadai anataka kupunguza watu.

Hata hii simu natumia ni ya jirani yangu nimeazima kwa muda.

Pia kama kuna kazi yoyote niko tayari kufanya. Kwa maana maisha yangu yamekua magumu sina hata hela ya kula yaani nimebaki na 5000/= ambayo ndio naomba 7000/= ili iwe 12000/=
Ndio uwe mtaji.

Sina ndugu ambaye atanisaidia shida hii.
 
Wizii mtupuuuuuuu, tena na tenaaaa mkome kabisa kuifanya JF kuwa kijiwe cha kupigia deal mbuzi, binafsi ningekuelewa kuelewa kama ungesimamia kwenye kutafuta memba atakaye kuwezesha kupata ‘piece work’ ya buku 7 ili ujikimu
 
Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba nimecheka sana
 
Mods waweke utaratibu wa kueleweka ya nyuei kama hii la sivyo matapeli wa mitandao watapiga kambi JF, inaleta mashaka kidogo kwa member aliyejiunga juzi leo anaanza kupiga mizinga, japo shida haina mwenyewe wala haichagui siku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom