Natafuta kazi yoyote halali

PILSNER

JF-Expert Member
May 16, 2018
429
741
Wasalaam

Mimi na kijana mwenye umri wa miaka 20 niko mbeya.
Natafuta kazi yoyote halali ili mradi tu iniingizie kipato cha kujikimu na hali ya maisha.

Elimu yangu ni kidato cha tatu kwa bahati mbaya nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na kukosa ada huku mimi nikiwa ndo tegemezi katika familia.

Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile.

Nawasilisha.
 
Elezea katika maisha yako umewahi kufanya kazi gani? Na ungependelea kufanya kazi gani?
Unaweza kuvua samaki,au kuzama mgodini umbali wa Kilomita moja ardhini?
Funguka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom