Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi.
Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk
lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
Hakika lazima nikusaidie, kwanza hongera sana kwa kujishughulisha na hiyo biashara yako. Na kitakachofanyika ni kukuongezea mtaji na mafunzo ili ufanye biashara hiyohiyo ila kwa ukubwa nauhakika utaajiri watu na utalipa Kodi.
Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya.
Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa
M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji.
Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.