Search results

  1. kingazi

    Nahitaji mchumba wa kike

    mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,ni mwenyeji wa Tanga ninafanya kazi ya kuajiriwa ninahitaji mchumba ambaye atakuja kuwa mke, sifa zake:_ i) umri miaka 20-30 ii)rangi yoyote isiwe artificial. iii)elimu isiwe chini ya f4 iv)awe hajazaa. v)anaeamini kama kama mungu yupo...
  2. kingazi

    umemsikia huyu chizi

    chizi mmoja alikuwa amekaa ufukukweni mwa bahari akiwaza ,jamaa mmoja akamuuliza unawaza nini?chizi akamjibu nawaza kama haya maji ya bahari yangekuwa supu sijui ningeinywa na chapati ngapi?
  3. kingazi

    kweli kifo noma

    kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza. Jambazi:we mwanamke unaitwa nani? Mwanamke:mimi naitwa elizabeth Jambazi:wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama...
  4. kingazi

    man n' wife

    A husband asked his wife, do you know the meaning of WIFE? It means that. W=without I=information F=fighting E=every time. Wife says no, it means W=with I=idiot F=for E=ever Who iz correct
  5. kingazi

    hakuna njia mbadala

    jaman kuna msichana m1 ninampenda sana, nilivyokutana nae kwa mara ya kwanza nilijua yeye ndiye atakuwa my wife tatizo siku ya kwanza kwenda kuchakachua niliyoyakuta huko noma unaambiwa kinu kina maji kibao nikitwanga maji yanaruka mpaka usoni, kumpenda nampenda ila mh! nikifikiria uwanjani...
  6. kingazi

    kweli tunaibiwa

    jaman hawa wanawake wanatuibia kweli, kunajamaa alikua anafanya mpenzi na demu m1 basi yule mwanamke alivyokuwa analalamika ah , ah nakojoa basi yule jamaa akamtest kama kweli au anaibiwa basi jamaa nae akaanza kulalamika ah, ah nakunya basi mwanamke akakurupuka na kumuambia we akamka haraka...
  7. kingazi

    jamani angalieni wenetu

    jamani kuweni makini mnapotaka kufanya mambo nyakati za usiku kwani hawa wenetu wa siku hizi hatari, mimi nimepanga nyumba moja huku uswahili siku moja nikiwa nimejipumzisha ndani kwangu akaingia mtoto wa mpangaji mwezangu nilikaa nae kwa muda kisha nikamuona yule mtoto ananifungua zipi...
  8. kingazi

    kwanini?

    kwanini watani zangu wachaga wakicheza ngoma zao hushikana mikono yote.
  9. kingazi

    Anafaa kusamehewa huyu

    nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko...
  10. kingazi

    Nimfanyeje huyu mke?

    mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?
  11. kingazi

    Dokta na mgonjwa

    jamaa mmoja alikwenda hospitalini,alivyofika kwa dokta mazungumzo yalikuwa hivi, Dokta,:sema mgonjwa unasumbuliwa na nini? Jamaa:uume wangu hausimami. Docta:una mke? Jamaa:hapana Dokta:una mchumba? Jamaa:hapana Dokta:una mpenzi? Jamaa:hapana Dokta:kuna starehe yoyote unayopenda...
  12. kingazi

    yaliyo mkuta mfugaji

    mfugaji mmoja alivamiwa na majambazi usiku ,wakaiba mifugo kisha wakamvua nguo zote kumfunga kwenye mti kama yesu asubuhi jirani zake walikwenda kumpa pole jamaa,jamaa akawaambia yaani hapa wala sifikilii kuibwa kwa ng'ombe bali ni huyu ndama waliemuacha yaani nilivyofungwa pale mtini basi huyu...
  13. kingazi

    hivi ingelikuaje?

    unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
  14. kingazi

    wanasiasa

    wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja,mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la pamoja na kuwazika wote, polisi walivyofika wakamkuta yule mkulima wakamuuliza waliopata ajali wako wapi...
  15. kingazi

    je adam na hawa walikuwaje?

    kila siku najiuliza kuhusu adam na hawa , katika vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa sisi sote ni wana wa adam lakini inakuaje sisi waafrika tu weusi,au baba yetu adam au mama yetu hawa mmoja wapo alikuwa mweusi ,au sisi tulizaliwa na ulemavu wa ngozi.
  16. kingazi

    hivi inawezekana kweli

    kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa anumia, mkewe akamuomba ndugu yangu huyo wakapime dna kama anamashaka maana mke alimuona mumewe japo...
  17. kingazi

    hivi inawezekana kweli

    kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku moja waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa anaumia, mkewe akamuomba ndugu yangu huyo wakapime dna kama anamashaka maana mke alimuona mumewe...
  18. kingazi

    kama ungelikuwa ni wewe ungefanyaje

    kuna jamaa mmoja alimpa dent mimba kuona hivyo jamaa akaona bora aende kwa sangoma amsaidie maana miaka 30 inakaribia sangoma akamsaidia kwakumbadilisha nyeti zake kuwa za kike kwa muda ili ashinde kesi siku ya kesi jamaa baada ya kusomewa mashata, jamaa alikataa, basi jaji akamwambia ajitetee...
Back
Top Bottom