hakuna njia mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hakuna njia mbadala

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kingazi, Sep 18, 2011.

 1. kingazi

  kingazi Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman kuna msichana m1 ninampenda sana, nilivyokutana nae kwa mara ya kwanza nilijua yeye ndiye atakuwa my wife tatizo siku ya kwanza kwenda kuchakachua niliyoyakuta huko noma unaambiwa kinu kina maji kibao nikitwanga maji yanaruka mpaka usoni, kumpenda nampenda ila mh! nikifikiria uwanjani network zinashuka ,naombeni kama kuna alternative fomula ya kuondoa au kama kuna mtu alishakutana na hali hii alifanya nini?
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ngoja wataalamu watakuja kukupa majibu
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na we kaongeze ukubwa wa mtwangio................huh
   
 4. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Mi nilishawahi kumsikia mtaalamu m1 anasema kwamba pindi gal anapokuwa kwny hali hiyo bac wakt anaenda kuoga au wakt anajiosha sehemu zake bac achukue limao au ndimu anajioshea kwny 'k' thn akimaliza anapangusa vizuri na taulo lake! Yani hiyo ni kila wakt anavyojisafisha kwny 'K' inasaidia kukausha hayo maji! Kama kuna m2 atakuwa anajua zaidi ataeleza no wory mkuu!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmh!! Inawezekana kweli ........:confused3:
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Gitaa lako haliwezi tumbuiza uwanja wa taifa.
   
 7. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Simple tu!!, HAMIA tigo!!! Utaenjoy mpaka basi!!!!
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Sep 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Astaghafirulah...!
   
 9. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,285
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Njia mbadala ni kukausha maji kabla ya kutumia, wenzako tunatumiaga leso au taulo laini kukausha.
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Umeleta thread yako kama utani. How come maji yaruke hadi usoni! Kuwa makini.
   
 11. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kama yanaruka mpaka usoni basi yatakuwa mengi sana, jaribu kutafuta kopo uyachote hayo maji kwenye bakuli..
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  acha kutuuzia chai, hayo maji yalirukaje hadi usoni. Ila kuna wengine ndivyo walivyo, hope ww mwenyewe sio kibamia! Ukawa yale maji unaogelea tu. .

  Acha wataalam waje watakushauri.
   
 13. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kama una jambo ambalo linakutatiza na unahitaji ushauri ili kupata ufumbuzi si vema kuli present kimatani namna hiyo hayo maji yanayoruka mpaka usoni jamani ipo kweli hii?! Labda kama unatudanganya ndugu!
   
 14. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  tabia hio umeianza lini analysti!? Unahitaji maombi MAALUM!!
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wenzio wanawatafuta hao wenye maji hawawapati......
   
 16. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu, wataalam watakusaidia
   
 17. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  PIGA KATERERO ya uhakika, utainjoy mazeee! ila ka mengi sana waweza kunywa kidogo kukata kiu!

   
 18. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Kadhia hiyo ilinitokea wakati naishi ukanda wa ziwa victoria.demu aliniambia suluhisho siyo kutwanga,bali kusugua ile crito.matokeo nilitengeneza bwawa! Wenyewe wanaita ni katerero! Baadaye nilikuwa nawapenda sana wenye maji mengi.
   
 19. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #19
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We ni mshamba huna ujuzi na mambo ya wanawake, Hayo maji ni raha kwa wanawake wengine huwa yanatoka kwa katerero wengine bila katerero(refer kwenye kitabu cha kihaya KOKU NA KATERERO)
   
 20. BINTI77

  BINTI77 Member

  #20
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe we mchafu hivi?
   
Loading...