je adam na hawa walikuwaje?

je adam na hawa walikuwaje?

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
kila siku najiuliza kuhusu adam na hawa , katika vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa sisi sote ni wana wa adam lakini inakuaje sisi waafrika tu weusi,au baba yetu adam au mama yetu hawa mmoja wapo alikuwa mweusi ,au sisi tulizaliwa na ulemavu wa ngozi.
 
nani weupe?
 
Adam alikuwa mweusi tii! Wazungu ndio walizaliwa na ulemavu wa ngozi thats y they cant be lyk us bt we can be lyk them. Senkyuu!
 
I that a joke?...do your homework bana!
 
Back
Top Bottom