Anafaa kusamehewa huyu

Anafaa kusamehewa huyu

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko hospitalini kwani alipata jali iliyompelekea kupoteza faham siku 4 na sasa hiv amekatwa miguu yote hivyo hawezi tembea tena na akamuomba aje ili amsaidie basi yule mwanamke akamjib kuwa hawezi kumsaidia kwa hilo kwani hakuwa na mpango wa kuishi na mlemavu hapo wakakata mawasiliano lakini baada ya miezi 2 walikuja kukutana tena yule mwanamke akahamaki,jamaa akamueleza ukweli basi yule msichana anaomba msamaha na hata ndugu zake pia wanamuombea msamaha,sasa japo tunatakiwa kusamehe na huyu nae vipi?
 
Kama mungu keshakuonesha dhahiri huyu siye unayatakianini matatizo? Si keshafeli mtihani huyo? Wanini tena? Angekuwa amefunga ndoa je? Mchumba? What is mchumba? To hell.
 
Huyu wa kutupa jalalani kabisa!! Hafai kabisaaa!!
 
Mungu amekuamuru kusamehe,ila hajasema popote pale kwamba
unapo samehe basi umuamini huyo uliye msamehe au
umruhusu kukuumiza tena.

Msamehe then chukua 100 zako,mwache na 0 yake maisha yasonge
 
hebu dandia daladala yenye mstari wa pink,nakusubiria mwisho wa basi. pole mwaya,nna haraka kama nini sijui!
<span style="font-family: comic sans ms">Mkuu hapo umeniacha!!</span>
<br />
<br />
 
Acha ukatili wewe,....kwanini umtupe mwenzako jalalani?
kawa uchafu?
Kwa kitendo alichofanya ni nje ya ubinadamu kabisa!
Angekuwa na busara hata ya kwenda kumtembelea hospitali!
Kwa hili anastahili kutupwa!!
 
....teh teh,majaribio mengine kweli ni majaribu...
 
Wala sio jaribio gumu, ni ujinga tu wa huyo dada kwa nini asingehakikisha kwanza kama habari aliyopewa ni ya kweli?
 
Kwa kitendo alichofanya ni nje ya ubinadamu kabisa!
Angekuwa na busara hata ya kwenda kumtembelea hospitali!
Kwa hili anastahili kutupwa!!

Hahaha,imeandikwa,....
"Ajidhaniye amesimama,aangalie asije anguka"

Kama ulichosema kitapitishwa kuwa "sheria" kwa watu flani hivi,..
naamini kuna sehemu utakosea tena leo leo na utastahili "kutupwa jalalani"
 
nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko hospitalini kwani alipata jali iliyompelekea kupoteza faham siku 4 na sasa hiv amekatwa miguu yote hivyo hawezi tembea tena na akamuomba aje ili amsaidie basi yule mwanamke akamjib kuwa hawezi kumsaidia kwa hilo kwani hakuwa na mpango wa kuishi na mlemavu hapo wakakata mawasiliano lakini baada ya miezi 2 walikuja kukutana tena yule mwanamke akahamaki,jamaa akamueleza ukweli basi yule msichana anaomba msamaha na hata ndugu zake pia wanamuombea msamaha,sasa japo tunatakiwa kusamehe na huyu nae vipi?

By the way,hii hadithi kakufundisha nani?
Inatufundisha nini?
 
Hahaha,imeandikwa,....
"Ajidhaniye amesimama,aangalie asije anguka"

Kama ulichosema kitapitishwa kuwa "sheria" kwa watu flani hivi,..
naamini kuna sehemu utakosea tena leo leo na utastahili "kutupwa jalalani"
Kuna makosa ya kufanya but siyo hilo la kumnyanyapaa mtu waziwazi kutokana na ulemavu wake!
 
nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko hospitalini kwani alipata jali iliyompelekea kupoteza faham siku 4 na sasa hiv amekatwa miguu yote hivyo hawezi tembea tena na akamuomba aje ili amsaidie basi yule mwanamke akamjib kuwa hawezi kumsaidia kwa hilo kwani hakuwa na mpango wa kuishi na mlemavu hapo wakakata mawasiliano lakini baada ya miezi 2 walikuja kukutana tena yule mwanamke akahamaki,jamaa akamueleza ukweli basi yule msichana anaomba msamaha na hata ndugu zake pia wanamuombea msamaha,sasa japo tunatakiwa kusamehe na huyu nae vipi?
Kwanza hapo huyu mwanaume ni muongo na anajitakia mabaya maishani mwake, hivi kwanini adnganye jambo kubwa naman hiyo! Hivi kwa nini umjaribu mwenzi wako mtarajiwa kwa uongo huo eti tu upime kama anakupenda!!!! mimi hapo sijamfagilia kabisa, na ningeenda na kukuta ni mzima ndio mwisho wa uhusiano kabisa coz mtu muongo ni hatari sana. Imagine huyo mwanamke angepata mshtuko kiasi cha kupata stoke ingekuwaje jamani!

Kwa upande wa mwanamke naye si mstaarabu kwa kweli na hana upendo wa dhati, alitakiwa kwenda kwanza hospitali kumjulia hali na kumfariji mwenzake na baada kama angeona kutokana na ulemavu huo hawezi kuolewa naye sidhani kama ni wa kulaumiwa, ila angehakikisha anapona kwanza na kumpa msaada ulihitajika kwa kipindi yuko hospitali, hapo wote wamekosea! mwanaume amsamehe tu huyo mrembo wake coz ajiangalie na yeye alivyodanganya
 
Back
Top Bottom