yaliyo mkuta mfugaji

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
mfugaji mmoja alivamiwa na majambazi usiku ,wakaiba mifugo kisha wakamvua nguo zote kumfunga kwenye mti kama yesu asubuhi jirani zake walikwenda kumpa pole jamaa,jamaa akawaambia yaani hapa wala sifikilii kuibwa kwa ng'ombe bali ni huyu ndama waliemuacha yaani nilivyofungwa pale mtini basi huyu ndama alikuja kuninyonya uume wangu usiku mzima akizani ni ziwa la mama yake yaani nimepiga bao zaidi ya ishirini?
 
Kwa akili yako kweli wewe itawezekana ndama kufanya hivyo? Tafakari kabla! Humu hakuna watoto.
 
Joki nyingine pekee ni joki ya mjoki. Ni lazima utaje jina la Yesu kwenye joki kama hii ? Ni muhimu kuwa na maadili.
 
Kisda ulichokitoa hakina maana na fikra zinaonyesha ni finyu hasa ukizingatia kuwa unalinganisha upuuzi huo na kumtaja Yesu. Yeye hajafungwa kwa kamba kama unavyodhani. Kama kitu hukielewi funga domo!!!!!!!!!!!!!!
 
Joki nyingine pekee ni joki ya mjoki. Ni lazima utaje jina la Yesu kwenye joki kama hii ? Ni muhimu kuwa na maadili.
<br />
<br />
kweli kabsa. Angetmia mfano wowote kuliko kusema 'kama Yesu', sio nzuri.
 
Joki nyingine pekee ni joki ya mjoki. Ni lazima utaje jina la Yesu kwenye joki kama hii ? Ni muhimu kuwa na maadili.
<br />
<br />
kweli kingazi ameboa, jina lipitalo majina yote likitajwa lazima iwepo sababu mahsusi, dah kumbe kweli siku ya mwisho imekaribia manake hata hofu watu hawana tena .!
 
kama yesu akimaanisha aliwekwa muundo ule. achen mambo ya kukuza vitu. na ndama hana meno na huwa ana suck kwa sisi wafugaji tunajua anachofanya ndama ukiweka kidole mdomoni kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom