kwanini?

kwanini?

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
kwanini watani zangu wachaga wakicheza ngoma zao hushikana mikono yote.
 
wanaogopa kuibiana bana, si unajua tena hawa watu kwa pesa.
 
We kingazi! Bure kbs! Si ndio utamaduni wenu. Nawe umekosa cha ku2juza.
 
Wanaogopa wasije wakatiana vidole ehhhh vya macho.
 
Ngoma yao huwa hainogi hata hivyo.Labda wajaribu taarabu.
 
Hapa kuna swali kweli?. We chalii vip!
 
Back
Top Bottom