Search results

  1. magasi jnr

    Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

    Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
  2. magasi jnr

    Msaada kuhusu kikuu, naona iphone 12 kwa bei chee

    Habari wakuu, Bila kupoteza mda naomba mnitoe tongotongo kidogo kuhusu hizi IPHONE 12 zinazouzwa KIKUU (Rejea picha ya chini) kwa bei sawa na bure maana kuna rafiki angu kanishirikisha hii ishu imebidi nimwambie asubiri kwanza tufanye research.. Nawasilisha
  3. magasi jnr

    Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

    Jamani msaada, nahitaji kujua kama jiwe hili kwenye (picha hapo chini) kama lina dhahabu. Naomba kuwasilisha.
  4. magasi jnr

    Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

    Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY... NOTE: Comment ziwe fupifupi
  5. magasi jnr

    Brand new (W-King T8) Speakers zinauzwa

    Karibu jipatie high sound quality speaker aina ya W-KING kwa bei nzuri . Zipo mbili tu, wahi mapema PRICE: 230,000 CONTACTS: 0744277050 LOCATION: DAR (KINONDONI)
  6. magasi jnr

    Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

    Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021) BACK TO THE TOPIC Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha hivi karibuni... Kuna...
  7. magasi jnr

    SOLD: Nauza kitanda na godoro (5*6) 160k

    Nauza kitanda cha mbao na godoro lake vyote kwa pamoja kwa 160,000 Kitanda ni mbao na ukubwa wake ni 5*6 Location: Riverside, Ubungo Contacts: 0693855083 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. magasi jnr

    House4Rent Natafuta chumba cha kupanga Dar

    Habarini Wakuu, Kama Kichwa cha habari hapo Juu Natafuta chumba maeneo ya Msewe, Ubungo, Mwenge, Sinza, Survei na yote karibu na maeneo tajwa hapo Juu. Sitaki Kuwachosha sana Bajeti yangu ni Elf60k NAWASILISHA.
  9. magasi jnr

    Kama Una Matatizo Ya Nguvu za Kiume Basi Mlimani Ni Tiba

    Kwenye mizunguko ya apa na pale nmegundua kua suluhisho mbadala kwa wale wenye matatizo ya uhanisi na nguv za kiume USHAURI: Tembelea Mlimani City Siku Za Weekend Alaf Ukae Kwenye Vile Vibenchi Vya Ndani Afu Kaa na Tazama Kwa Makini Type Mbalimbali za Mademu Wanaopitapita apo...Naiman Kwa...
  10. magasi jnr

    NATAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA MWANZA

    Habari Wakuu, Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Mwanza..Sifa Kubwa kiwe self-contained . . CONTACTS: 0743167208 / 0620265818
  11. magasi jnr

    Natafuta Container Empty la kununua

    Habari Wakuu..Nataka kununua container empty kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali hivyo kama kuna mtu anauza au anaweza nisaidia kwa mawazo eapi nitaweza pata au COMMENT chochote kila cha kujenga afanye hivyo...NAWASILISHA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. magasi jnr

    IT SOLUTIONS

    TUNASOLVE ISSUE ZOTE ZA KOMPYUTA Kwa Yeyote Alie na Shida Au Tatizo Lolote IT(compyuta) Alete Humu
  13. magasi jnr

    News Alert: Jamani...Jipatie mda wa maongezi kwa kufanya survey kupitia hii application...NAKUHAKIKISHIA HAUTOJUTA

    You have been invited to GeoPoll by friend. Download GeoPoll App from http://gpl.cc/IYR5t Use this VVPHLZ9 referal code
  14. magasi jnr

    Nauza INFINIX HOT 5 Mwanza

    Internal Storage-16GB RAM-2GB Kioo-5.5 inch Betri- 4000 mAh Bado Mpya....+ guarantee Bei ni 230
Back
Top Bottom