IT SOLUTIONS

IT SOLUTIONS

magasi jnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
364
Reaction score
573
TUNASOLVE ISSUE ZOTE ZA KOMPYUTA

Kwa Yeyote Alie na Shida Au Tatizo Lolote IT(compyuta) Alete Humu
 
OK Dell desktop ilikuwa inapiga kazi vizuri tu, juzi usiku saa 3 nikasahau kuzima asubui niliwasha haiwaki kabisa, inawaka taa ya njano kwenye bodi tu. Ukibonyeza power on switch hakuna kitu kabisa.
 
Kompyuta yangu kila nikitaka kuweka Windows mpya haiboot
inawaka na kwenda moja kwa moja kutoa maandishi "Windows is loading files..."

Nimeset iboot first usb lakini wapi.
nimeweka CD nayo pia inakataa.

sijui tatizo nini
 
Kuna pc HP ukiwasha inakuja black screen ime andikwa "time and date not set" nikajarib kuchange CMOS battery hakuna ilicho saidia help plz
 
Mkuu kuna HP ikianza inaishia hapo.... Ctrl +Alt+del to restart ila ikianza tenaaaa inaishia hapo hapo. Hata ukitaka week window inagomea hapo..
Maelekezo mkuu
IMG_20180720_140932.jpg
 
Mkuu vp
Nimeiwasha na tatizo Kama Hili, were ulilimaliza vp
Pole mkuu....
Tatzo kama Hilo mara nyng hutokea kama pc yako inajaribu kuboot( kuwaka) from non bootable device. Mfano ukichomeka CD/DVD , au USB flash drive, au floppy disk (kama ulichomeka chcht Kati ya hivyo chomoa na uwashe Tena).
Tofaut na hapo windows inakuwa imecorrupt.
 
Asante mkuu nitajaribu
 
Back
Top Bottom