Natafuta Container Empty la kununua

magasi jnr

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
363
544
Habari Wakuu..Nataka kununua container empty kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali hivyo kama kuna mtu anauza au anaweza nisaidia kwa mawazo eapi nitaweza pata au COMMENT chochote kila cha kujenga afanye hivyo...NAWASILISHA
IMG_20190331_221938_140.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom