Search results

  1. Kudo

    Mtegoni.

    ...
  2. Kudo

    Sonona! imenielemea. Msaada!

    .....
  3. Kudo

    Kamanda wa Zamu.(Mwanajeshi hatishii, hutenda)

    RIWAYA; KAMANDA WA ZAMU. NA; BAHATI K MWAMBA. WHATSAPP; 0658564341. 1. Alikuwa akitetemeka mwili na roho, jasho lilimmwagika hadi kwenye ncha za vidole vyake vya miguu na mikono, miwani aliyokuwa ameivaa ni kama haikuwa ikimsaidia kwa lolote kwa sababu hakuwa akiona mbali...
  4. Kudo

    Mwiba wa chuma(Zuki Gadu)

    RIWAYA; MWIBA WA CHUMA. Na; Bahati Kisarwa Mwamba. Simu; WhatsApp 0658564341 1. Siku kwake ilikuwa inaelekea kuisha vema. Jioni ya siku hiyo aliamua kuimalizia kwa kufanya mazoezi ya kukimbia kilomita nane. Alikimbia bila kujali waliomfahamu walikuwa wakimshangaa...
  5. Kudo

    Simulizi: Kaburini ama Gerezani

    KABURINI AMA GEREZANI! NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0658564341/0758573660. 1: KIKAO… Ilikuwa ni ndani ya baa moja maarufu sana ndani ya jiji la Dar es laam, baa ambayo milango yake haikuwahi kufungwa, iwe ahsubuhi, mchana ama usiku, burudani ziliendelea kama kawaida. Kilichokuwa kikibadilika...
  6. Kudo

    Riwaya: Ukurasa wa Tisa

    RIWAYA: UKURASA WA TISA NA: BAHATI K MWAMBA SIMU: 0758573660/0658564341 Sehemu moja maarufu ndani ya jiji la Dodoma kulikuwa na kundi kubwa la watu pembezoni mwa barabara wakiwa wamesimama kimakundimakundi. Watu hao walikuwa wamesimama kwa kuzizunguka baadhi ya meza za kuuzia magazeti zilizoko...
  7. Kudo

    Mdunguaji wa Goma; Season2(sumu haionjwi).

    MDUNGUAJI WA GOMA:2 NA; BAHATI K MWAMBA SIMU; 0758573660/0658564341. 1. Zilikatika dakika thelathini bila mjumbe wa mwisho kuingia kwenye kikao cha dharura, simu zake hazikuwa zikipatikana na hata namba yake ya nyumbani haikupokelewa, jambo ambalo liliwafanya wajumbe wawili...
  8. Kudo

    Domo Kaya: Hukumu ni Kifo

    RIWAYA; DOMOKAYA. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0758573660/0658564341. 1. Walishushwa kwenye basi la wafungwa na kuamriwa kuchuchumaa huku wakiwa wamefungwa pingu za miguu na mikono, afya zao hazikuwa imara sana, wengi walionekana dhoofu na wenye nyuso za kukata tamaa...
  9. Kudo

    Kuta za Darfur.... Mstari wa kifo

    RIWAYA; KUTA ZA DARFUR. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0656741439/0758573660. 1: Alikuwa akikatiza katikati ya mitaa ya jiji la Dar Es laam akiwa amening'iniza mfuko kwenye mkono wake wa kulia, mkono wake wa kushoto aliutumbukiza kwenye mfuko wake wa suruali. Alitembea...
  10. Kudo

    Riwaya: Mvamizi

    RIWAYA: MVAMIZI NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU: 0758573660/0656741439. 1: CHIPIPA, ANGOLA… Pembezoni kidogo mwa mji mdogo wa Chipa ulioko ndani ya mkoa wa Chipipa nchini Angola, kulikuwa na tukio lililokuwa linaendelea katikati ya giza nene. Tukio ambalo lilikuwa linafanywa...
  11. Kudo

    Riwaya: Ngoma Ngumu

    RIWAYA; NGOMA NGUMU NA: BAHATI K MWAMBA SIMU: 0758573660/0624155629 NAIROBI, KENYA… Kulikuwa na mabishano makubwa ndani ya nyumba moja ya kifahari, katikati ya jiji la Nairobi. Kulikuwa na familia inayoongozwa kwa misingi ya kihuni na ukorofi uliyotukuka. Familia ambayo iliamua kuliteka jiji...
  12. Kudo

    Chelewa, Uzikwe

    RIWAYA; CHELEWA UZIKWE! NA; BAHATI K MWAMBA SIMU; 0758573660/0624155629. DAR ES SALAAM…. Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu kushindana na uzito wa macho yake. Aliifikia simu yake na kutazama mpigaji. Haraka alinyanyuka kitandani na...
  13. Kudo

    Mdunguaji wa Goma

    NA; BAHATI K MWAMBA -----1------ Kikao cha watu watatu kiliendelea na kila Mjumbe, tayari alishatoa wazo lake aliloona ni sahihi kwa wakati huo. Makubaliano ya hapa na pale yalifikiwa, lakini ukaibuka utata kwenye hitaji lao la mwisho, na lilowafanya wakutane siku hiyo...
  14. Kudo

    Simulizi: Mauaji ya Kifo

    RIWAYA; MAUAJI YA KIFO MTUNZI; BAHATI MWAMBA SIMU;0758573660. Mwaka 2012 CHAYA- Kikundi chao kilikuwa na watu wanne. Kikundi hiki kilikuwa na watu wanaopenda kujiongeza, bila kujali matokeo yatakayopatikana baadae. Kwa lugha yao ya utani kambini; kikundi hiki kiliitwa...
  15. Kudo

    Tangazo maalumu kwa wateja wa Kudo. Walionunua riwaya hawakupata ofa yao. Hii inawahusu

    Wale wapenzi wa riwaya za Kudo. Mliokuwa mnanunua kila mara na mara ya mwisho, mliahidiwa ofa na hamkupata.. Tafadhalini, nitext whatsapp 0658564341. Simu yangu iliibwa, hivyo nimepoteza mawasiliano yenu yote.
  16. Kudo

    Kitabu: Jasusi Komando (based on a true story)

    RIWAYA: JASUSI KOMANDO NA; BAHATI MWAMBA. SIMU: 0758573660 1. BERBERA, SOMALIA (Somaliland). Alivuta pumzi zake kwa kasi kisha,alizishusha taratibu huku akiwa amefumba macho yake na kichwa chake akiwa amekiinamishia mbele kiasi, kidevu chake kiliegama kifuani mwake. Zoezi lile alikuwa...
  17. Kudo

    Kikosi cha pili S2 (mbinu za komando Zedi Wimba)

    RIWAYA ; KIKOSI CHA PILI. Season 2. Na; BAHATI MWAMBA. SIMU;0758573660. Soma hivi…….. GATUMBA BURUNDI. Kiasi cha kilomita kumi na tano kutoka Bunjumbura na, kilomita tano kutoka mashariki ya Congo, kulikuwa na kundi la watu wanne wakijongea kwenye makazi ya watu yaliokuwa kati...
  18. Kudo

    Doa la vipepeo (Jasusi wa kweli hashindwi na codes za jasusi muovu)

    RIWAYA; DOA LA VIPEPEO NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0758573660. -----1----- Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati za hapa na pale zilianza kufungwa, watu walianza...
  19. Kudo

    MTUMWA(riwaya ya ujasusi na upelelezi) inauzwa

    RIWAYA; MTUMWA NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0758573660 RIWAYA ZILIZOTANGULIA.. • MPANGO WA CONGO • KIKOSI CHA PILI • URITHI WA GAIDI • DAKIKA ZA MWISHO • OPERESHENI KuKu • OPERESHENI JICHO LA PAKA • BAHARIA • SAUTI YA MTUTU • MBWA WA GETI • CHUMBA CHA SABA Endelea……… ---01---...
  20. Kudo

    Operesheni KuKu (kufa kupona). riwaya ya kijasusi

    RIWAYA; OPERESHENI KUKU (KUFA KUPONA) NA; BAHATI MWAMBA SIMU; 0758573660 VITABU VILIVYOTANGULIA • KIKOSI CHA PILI • MPANGO WA CONGO • URITHI WA GAIDI • SAUTI YA MTUTU • DAKIKA ZA MWISHO • OPERESHENI JICHO LA PAKA • BAHARIA • CHUMBA CHA SABA. Soma ----Beni; Kivu kaskazini...
Back
Top Bottom