Tangazo maalumu kwa wateja wa Kudo. Walionunua riwaya hawakupata ofa yao. Hii inawahusu

Kudo

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
1,809
6,081
Wale wapenzi wa riwaya za Kudo. Mliokuwa mnanunua kila mara na mara ya mwisho, mliahidiwa ofa na hamkupata..

Tafadhalini, nitext whatsapp 0658564341. Simu yangu iliibwa, hivyo nimepoteza mawasiliano yenu yote.
 
Chonde chonde! Rafiki wa Kudo, unapopata taarifa hii, naomba namba yako inbox, Ili uweze kupata haki yako.

Nimepoteza simu, namba zake, zote.

U mpenzi wa riwaya na hupendi kukosa kila riwaya inayotoka, tafadhali, naomba unitext whatsapp 0658564341.

Fanya hivyo tafadhali, Ili upate haki yako
 
Mkubwa Kudo mbona kama hauko updated na technolojia ulishindwaje kufanya back up ya no. za wateja wako

Halafu mtu akihitaji riwaya zako zote ambazo umewahi kuziuza humu ikiwemo mkono wa chuma utamtoza pesa ngapi
 
Back up ilinigomea, nimejaribu njia zote nilizofahamu, lakini ikashindikana.

Riwaya zangu zote kwa pamoja huwa naziuza kwa tsh 15000/= Ila ukihitaji moja unalipa 2000/=.

Karibu, utaweza kunipigia kwa 0758573660. Ama kunitafuta whatsapp kwa 0658564341.(haipo hewani, inapatikana whatsapp tu.)
 
OK sawa mkubwa nitakutafuta jioni
 
Back
Top Bottom