Search results

  1. Rosh Hashannah

    Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

    Hadi Rose garden? Wazee wa bei chee
  2. Rosh Hashannah

    Wasabato Wanatambua Kuwa Wapo Wateule Wengi wa Mungu Wanaopatikana Makanisa Mengineyo Yasiyotunza Sabato Ya Jumamosi

    Hellen Gould White au Nabii wa Kike aliwahi kuugua ukichaa. Nashangaa maono yake yanafuatwa. Aliwahi kuwashauri watu wasioge 😂 lakin hilo hawafuati
  3. Rosh Hashannah

    CAF yafungia uwanja wa Mkapa

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefungia Uwanja wa Benjamini Mkapa kutotumika kwa kile kilichoelezwa umeharibika eneo la kuchezea (pitch) na sasa utafungwa kwa mwezi mmoja kupisha marekebisho. Source: Mwanaspoti ====== Taarifa hii imefanyiwa kazi kwenye jukwaa la Jamii Check, soma: KWELI...
  4. Rosh Hashannah

    Ramadhan Mbwaduke ndiye Mchambuzi Bora wa Mchezo wa Mpira wa Miguu kwasasa hapa Nchini

    Huyo ni mtoa statistics, na siyo mchambuzi. Hana kingine zaidi ya stats alizoshika kichwani. Mchambuzi ni kama George Ambangalile
  5. Rosh Hashannah

    Kesho Kocha Nabi atuwekee DOUBLE STRIKERS

    Kesho Kocha Nabi atuwekee Mayele na Musonda. Wingers wetu eg. Twisila ni matatizo. Nyuma yao acheze Aziz Ki kama yuko fit. Mayele akicheza mwenyewe atuzurura tu uwanjan, nadhan mmeona game iliyopita, Mayele vs Monastr, Baleke vs Horoya, Bocco vs Raja 😂 Huku mabeki sio wa NBC Premier league...
  6. Rosh Hashannah

    Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Huyu aliwahi kusifu Kanisa Katoliki. Pia hata video ya kuwaaga waamin kamaliza Tumsifu Yesu Kristo. Hili jambo maboss (askofu) wake wanachukia. Huyu Jamaa ni mkweli. Hakuna taasisi bora zaidi ya Kanisa Katoliki. Makanisa mengine ni migogoro ya (kifedha, kiuongozi) kila siku
  7. Rosh Hashannah

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    UTATU MTAKATIFU Mungu ni mmoja. Pia ana nafsi 3: Baba ni Mungu Mwana ni Mungu John 1:1-3, Phil. 2:6-7 Roho Mtakatifu ni Mungu. Hatuwezi kuwatofautisha lakin watotofautiana kwa kazi zao. Mungu yu katika uwingi Genesis 1:26 Tumfanye mtu kwa mfano wetu Genesis 3:22 Amekuwa mmoja wetu...
  8. Rosh Hashannah

    Sikukuu ya Christmas na tarehe ya kuzaliwa Kristo

    Turudie madini ya Pd. Titus Amigu
  9. Rosh Hashannah

    CHRISTMASS vs X-MASS

    Vijana kadhaa wameniomba nirudie maelezo kuhusiana na maneno “CHRISTMAS” na “X-MAS” maana wanachanganywa na wenzao. Kifupi, maelezo yanayosambazwa kwenye mitandao yetu ni kwamba “Christmas” ni sahihi na “X-mas” siyo sahihi. Maelezo haya yanayosambazwa si sahihi, ni ya uongo. Ni ushuhuda wa...
  10. Rosh Hashannah

    Acheni kujifariji, Yesu hakuwa masikini/kapuku

    In the ancient world, there was no comfortable middle class, just relative poverty and luxurious wealth. Jesus was not destitute or a beggar, but he was also not wealthy. The Bible says Jesus became poor (2 Cor. 8:9), taking the form of a slave (Phil. 2:7) and had nowhere to rest his head (Luke...
  11. Rosh Hashannah

    Kwanini waliookoka wengi ni masikini?

    HAKUNA KUOKOKA KATIKA DUNIA HII, WOKOVU ANATOA MUNGU MWENYEWE.
  12. Rosh Hashannah

    Msaada: Nina tatizo la kuchelewa kupiga bao

    Acha kupiga punyeto, pia anza kula vyakula ambavyo vitaongeza sperm na kaa walau wiki moja bila kufanya ili sperm retention itokee
  13. Rosh Hashannah

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea

    Kwani kuna Forward Defensive Midfielder? Mbona unaongea pumba. Ficha Ujinga wako.
  14. Rosh Hashannah

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea. Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul za ovyo. Mkude haeleweki kama no. 6 au 8 yaani... Striker wapambane wamchukue Manzoki, hawa...
  15. Rosh Hashannah

    Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
  16. Rosh Hashannah

    Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
  17. Rosh Hashannah

    Harmonize amuwekea dhamana Kizz Daniel

    Harmonize anaomba Buga remix
Back
Top Bottom