Search results

  1. a45

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Sijamaliza kusoma ila unatudanganya ujue miaka 46 wewe sio kijana
  2. a45

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Wewe ni Bilionaire kekeman bhana acha kelele vipesa vidogo sana jivyo
  3. a45

    Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

    Kiukweli nchi Ina mambo mengi ya hovyo ni vile basi tu hatuna vision natuna future kama taifa
  4. a45

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wacha nichangie kwanza kwenye hii paragraph Kwa maoni yangu naona mfumo tulionao Sasa ni outdated kwani ni Rais ndo anachagua nani awe wapi na nani wapi Sasa obvious atachagua watu ambao anawajua tu Sasa mkuu wa nchi anafahamiana na watu wangapi Kwenye li nchi lenye watu zaidi ya 60million ...
  5. a45

    Kupuuzwa kwa fani ya maendeleo ya jamii kwenye ajira zifuatazo litizamwe vizuri

    Ehee nadhani ndo maana Haina soko hizo duties hazihitaji ujuzi specific kudeal na hizo duties automatically atachukuliwa mtu mwenye faida ya ujuzi wa ziada kwani majukumu hayo yanaweza kuwa covered na mtu wa fani nyingine
  6. a45

    Kupuuzwa kwa fani ya maendeleo ya jamii kwenye ajira zifuatazo litizamwe vizuri

    Sasa kiongozi hebu nisaidie hapa main concern ya hii course ni nini Au niseme hivi wakati ukiwa chuo unasoma hiyo course Huwa unajiandaa kwenda kufanya kazi Gani ? Au mna-deal na nini hasa
  7. a45

    Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    mshana njoo utoe maelezo kutoka angle ya kilozi na kishirikina kwanini watu wananunua vitu vilivyo milikiwa na wafu Kwa pesa nyingib
  8. a45

    Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Dah jamaa anataka kufananisha walinzi wa nchi TISS na Hawa jamaa wanaopola ubwabwa wa mama ntilie na kwenda kuula wao 🤣🤣🤣🤣
  9. a45

    Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  10. a45

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu Mimi ninaswali nje ya hiki Hivi inapaswa kuweka copy ya vyeti ambavyo ni colored au hii copy black and white ?
  11. a45

    Interview za TRA hazijatenda haki

    Inawezekana kabisa ka Unaulizwa technical questions unakwepa kujibu jibu Kwa uwazi tu bila kuonyesha wewe ni nani Unapokua unakwepa kujibu maswali malalamiko Yako yanapoteza maana
  12. a45

    Interview za TRA hazijatenda haki

    Ungejibu kwanza hayo maswali
  13. a45

    Interview za TRA hazijatenda haki

    Mimi nadhani tukiwa fair Kwa pande zote wewe concern Yako ni kufaulu na kuzuiliwa kuendelea na mchakato Maswali yafuatayo unatakiwa uyajibu bila kujipendelea 1. Sifa/ qualifications za post uliyoomba zipo wazi na zinafaamika ? (Ndio au hapana ) 2. Kama zinafaamika bila kujipendelea tuambie...
  14. a45

    Car4Sale Toyota Chaser GX81 ipo Arusha kwa bei ya 1.98m

    Kwa hii bei Moja kati ya haya mawili ni kweli either wewe unashida kubwa sana au gari inashida kubwa Sana
  15. a45

    Maisha ya kutegemea mshahara magumu sana, betting nayo ngumu

    Nasema hivi bado hajasema atasema tu 😂😂😂
  16. a45

    Maisha ya kutegemea mshahara magumu sana, betting nayo ngumu

    Utasema yaani bado utasema tu
  17. a45

    Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

    Sasa mkuu kama wewe na familia Yako mlikua hamuoni umuhimu wa kusoma kufikia kiwango Cha PhD tatizo ni nani , Familia yenu au nyerere ? Naona tumeamua kubebesha lawama watu wengine hata Kwa mambo ambayo tulipaswa kuwajibika sisi
Back
Top Bottom