Search results

  1. Benno Bongo

    Chumba cha kupanga selian

    .
  2. Benno Bongo

    Nyimbo zenye vibe la kunywa

    Wadau na hizi sikukuu ingependeza tungepata nyimbo zenye vibe wakati wa kupata moja moto moja baridi, si unajua pombe=nyama choma=mziki=women, ni vitu vinavyoendana. Mimi nitatupia baadhi Pesa Mr Blue Una Mimi mars, young lunya Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
  3. Benno Bongo

    Urasimu wa RITA

    Kumekuwa na tabia ukienda kujiandikisha kupata cheti cha kuzaliwa unapewa mlolongo mrefu usio na maana yeyote, mfano unaambiwa ulete kadi yako ya kliniki, uje na mzazi, vyeti vya ubatizo n.k pia kulazimisha mtu kujisajili mahali ulipozaliwa, Ina maana kwa mfano nimezaliwa kigoma lakini familia...
  4. Benno Bongo

    Kesi ya Mengi

    Kuna habari kuwa aliyekuwa mke wa Mengi ameshinda kesi hivyo amekabidhiwa urithi wote ulioachwa na Mengi. Mwenye taarifa zaidi atujuze kulikoni!
  5. Benno Bongo

    Bajeti ya wizara ya kilimo 2022/2023

    Tunaomba mwenye document ya bajeti ya Wizara ya Kilimo aitupie hapa tuichambue na kuijadili kwa mustakabali mzima wa Kilimo hapa nchini
  6. Benno Bongo

    Maana halisi ya mipango miji

    Tanzania tunakwama wapi hapa ni Barcelona,Spain
  7. Benno Bongo

    Mbona kipindi cha mfungo ndiyo wanazidi kupendeza?

    Hawa dada zetu mbona kipindi cha mfungo ndiyo wanazidi kupendeza, uturi mavazi ya staha mashallah tukimaliza mfungo naoa
  8. Benno Bongo

    Wazazi wenye watoto wa kike walioko vyuoni

    Kama mzazi una mtoto wako amemaliza chuo kisha anakuambia anabaki anatafuta ajira. Kemea kabisa hilo pepo na mwambie haraka sana arudi nyumbani kazi atatafuta akiwa nyumbani ikishindikana mfuate kabisa umrudishe maana anayoyafanya/ atakayoyafanya hutopenda kusikia. Kwasasa kuna wimbi kubwa la...
  9. Benno Bongo

    Wanawake wenye ndevu

  10. Benno Bongo

    Hili tatizo ni kubwa namna hii au tunalikuza tu

    Hili tatizo ni kubwa namna hii au tunalikuza tu Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  11. Benno Bongo

    Ni nini sababu ya kupungua kwa mikopo ya HESLB mwaka 2021?

    Tatizo hasa ni nini kupungua kwa mikopo 2021 na watu wengi hususani wanaotoka kaya maskini kupata chini ya asilimia 50. Karibu tujadiliane
  12. Benno Bongo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
  13. Benno Bongo

    Naomba muongozo wa namna ya kufungua kesi ya Madai

    Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa? Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
  14. Benno Bongo

    AVN number inagoma kuleta control number nifanyaje?

    Msaada wakuu, kwenye kuomba AVN number inagoma kuleta control number nifanyaje?
  15. Benno Bongo

    Plot4Sale viwanja vinauzwa mwanza nyamagana kwa M6.5

    viwanja vinauzwa nyamagana kijiji cha luchelele karibu na dolphini lodge viko vitatu mita 16×30, vyote vipo sehemu moja vina hati. bei M6.5 kila kimoja, maelewano yapo simu 0753155934
Back
Top Bottom