Search results

  1. wasaa9

    Msaada kuhusa ujenzi wa nyumba Dar es salaam

    Habar zenu wapendwa. Mimi kama kijana mwenzenu ningependa kama itawezekana nimiliki nyumba ata chumba na sebure hapa Dar es salam sehemu yeyote kiwanja siyo tabu. Kwa yeyote mwenye uzoefu wa kufahamu urahisi au ugumu wa material za ujenzi katika jiji hili la Dar es salaam anisaidie.
  2. wasaa9

    Mwanaume kuombwa mahari kubwa ukweni kuliko ni dalili kuwa hupendwi

    Habari za mchana wakuu, kwanza poleni na majumu mlionayo na mnayoendelea nao hadi sasa, Kumekuwa na minongono mingi mitaani kuhusiana na swala zima la utoa mahari, kwamba kijana unakwenda ukweni kwa lengo la kutoa mahari (kuposa) kwa nia nzuri lakini cha kushangaza mahari utayoambiwa ukweni ni...
  3. wasaa9

    Msaada: mtoto wa miezi minne kukataa kunyonya ziwa la mama yake

    Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii ilitokea tu gafla baada ya mtoto kutoka usingizini Hadi mida hii mtoto hataki kuona ata ziwa la mama...
  4. wasaa9

    BattLE :Young killer(msodokii) vs young dar es salaam

    Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu wa tatu ambaye ni dogo janja (janjaro wa ngalenaroo. ) naachana nae coz ameupiga chini music hip...
  5. wasaa9

    Matumizi ya mate katika kulainisha uke wakati wa tendo yana madhara?

    Offcoz am among of them, lkn naomba msaada na ushaur kutoka kwenu waungwana. Najua wapendanao mnapotaka kudate lazma kutomasana kwanza il kupeana hamasa na hisia il kila mmoja wenu awe na ule utayar wa kufanya kitendo lenyewe Lkn sometimes baadhi yetu tunakosa ufundi na uvumilivu pale...
  6. wasaa9

    Msaada: Jinsi ya kutumia wifi bure

    Kama kichwa cha habari tajwa apo juu kinavyosema Wana jf , mwenye taaluma ya IT (techinician wa mambo ya information and technology ), na hata mtu yeyote asiye na taaluma hiyo lkn anautalaamu anisaidie naamna ya hack any wifi ,mahali popote naamini humu jf watu wenye taaluma hizo hawakosi...
  7. wasaa9

    Nimefurahi mke wangu kutongozwa na msanii mkubwa kutoka Tanzania

    Wana JF, Samahani kama mtaniona kolo, leo imekuwa na siku yangu ya furaha sana baada ya kuona mpenzi wangu ambae ndiye mke wangu mtarajiwa akitongozwa na msaani mkubwa na maarufu kutoka Tanzania. Mke wangu yuko poa, ijapokuwa binafsi nilikuwa namchukulia fresh tu coz nimemzoea, kwa sasa...
  8. wasaa9

    Salama wa kipindi cha mkasi✂ na ngazi kwa ngazi

    Wajameni, babie machachari na mwenye muonekano wa aina yake na host wa kipindi ngazi kwa ngazi yuko wapi tena. Huyu alikuwa host wa kipindi cha mkasi na baadae kuwa ngazi kwa ngazi katika television ya EATV. Salama Jabiri sioni kipindi chake karibu mwaka sasa.
  9. wasaa9

    Nahitaji incubator

    Mwenye uzoefu na hili tafadhal naomba msaada , Npo kanda ya ziwa ninaproject kubwa ya kuzalishaji vifarangu vya kuku wa kienyeji na kuwakuza kwa kutumia incubator machine, kwahiyo nahitaj kujua bei na mahali znpopatkana mashine ya kutotoreshea vifaranga yenye uwezo wa kubeba mayai kuanzia...
  10. wasaa9

    Majanga: Nimemtongoza msichana wa rafiki yangu

    Nina rafiki yangu wa kiume tumeshibana sana kiasi kwamba changu chake chake changu. Wik 2 before, aliniita hotel moja ili anitambulishe kwa msichana wake mpya (ingizo jipya ) aseee msichana ni kifaa akanitambulisha, mtoto mtoto kweli wowo ipo pia ya kutosha nikashindwa kujizui mtoto wa kiume...
  11. wasaa9

    Kituo cha polisi chenye mahabusu yenye jinsia moja tu

    Wazir Wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba juzi alitembelea kituo cha polisi cha Mkalama,Singida kuangalia hali ya mazingira na utendaji kazi wa askari polisi. Mkalama kama wilaya mpya iliyojengwa kutoka wilaya ya Ilamba ina mahabusu moja tu, ilihali wanawake wanaekwa mapokezi pia hali ya...
  12. wasaa9

    new best song, ally nipishe..

    [emoji444] [emoji444] [emoji444] msanii wa kizazi kipya ally nipishe iv karibuni kaachia mp3 na kichupa cha kikali tu cha kumaanisha na ngoma inaitwa MAPENZI ,bonge LA ngoma# mapenz yasikie ... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. wasaa9

    Msaada jamaani katika hili

    Habar zenu wanajf.....,TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "recognition of prior learning(RPL)'' kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo vilivyoainishwa,na kwa wale watakaofaulu mtihani watapata nafasi ya kujiunga na degree Chuo chochote...
Back
Top Bottom