Mwanaume kuombwa mahari kubwa ukweni kuliko ni dalili kuwa hupendwi

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
565
250
Habari za mchana wakuu, kwanza poleni na majumu mlionayo na mnayoendelea nao hadi sasa,

Kumekuwa na minongono mingi mitaani kuhusiana na swala zima la utoa mahari, kwamba kijana unakwenda ukweni kwa lengo la kutoa mahari (kuposa) kwa nia nzuri lakini cha kushangaza mahari utayoambiwa ukweni ni pasua kichwa, wakati wanajua fika kazi yako, kipato chako.

Familia yako na hata maisha yako kwa ujumla ni ya kawaida lakini mahari atayosema baba mkwe ni kubwa sana kiasi kwamba hata kusema nipunguzie baba yangu inakuwa kitendawili na nakwambia umalize mara moja siyo ado ado, wana JF wenzangu mnisaidie kunaupendo kweli upo au ndo kuniona sifai kumuoa binti yao?

Pia, kumekuwa na tetesi ya ndoa nyingi kufungwa na upande wa pili zikivunjika hali inayowachanganya na kuacha midomo wazi vijana wengi ambao ni mabachela na wakikaa na kutafakari hawapati jibu la kwanini hali hii inatokea? Lakini wakiulizwa baadhi wanandoa watakuambia ingia uone.

Je sababu yaweza kuongozwa na kichwa cha habari kinavyosema.

Tupeane uzoefu tafadhali.
 
Zero unit

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
273
250
Umeambiwa mahari kiasi gani?!

Mbona huwi muwazi?..halaf mimi sijawahi kuckia hilo sharti la kumaliza mahari yote kwnz kabla ya ndoa
Wapo mkuu watu wa namna hiyo kama mm nna mzee wangu huyo ukiposa kwake bac ujipange maana hana mchezo kabisa katika mambo ya pesa yani anafanya kama biashara.
 
Zero unit

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
273
250
Habar za mchana wakuu, kwanza poleeni na majumu mlionayo na mnayoendelea nao hadi sasa

Kumekuwa na minongono mingi mitaani kuhusiana na swala zima la utoa mahali , kwamba kijana unakwenda ukweni kwa lengo la kutoa mahari(kuposa) kwa nia nzuri lkn cha kushangaza mahari utayoambiwa ukweni ni pasua kichwa,akat wanajua fika kazi yako, kipato chako , familia yako na hata maisha yako kwa ujumla ni yakaida lakin mahali atayosema babamkwe ni kubwa sana kiac kwamba hata kusema nipunguzie baba yangu inakuwa kitendawili na nakwambia umalize mara moja cyo ado ado, wajf wenzangu mnisaidie kunaupendo kwel upo au ndo kuniona sifai kumuoa bint yao?

Pia, Kumekuwa na tendesi ya ndoa nyingi kufungwa na upande wa pili zikivunjika hali inayowachanganya na kuacha midomo wazi vijana wengi ambao ni mabachela, na wakikaaa na kutafakari hawapati jibu LA kwa nn hali hii inatokea? Lkn wakiulizwa baadhi wanandoa watakuambia ingia uone. Je sababu yaweza kuongozwa na kichwa cha habar kinavyosema!

Tupeane uzoefu tafadhali......
Kuhusu ndoa kuvunjika nahisi ni ukosefu tu wa maelewano kwa wahusika cyo kwamba lina uhusiano na hilo la mahali kuwa kubwa

Jingine nikwamba cyo kwelj mkuu kama watu wote wanaotajiwa mahali kubwa kama hawapendwi na cyo lazima kutoa pesa yote ulo tajiwa kama kuna mtu alokwambia hvyo bac kakudanganya maana mpaka baba zetu wanadaiwa mahali mpka leo hawaja maliza so hilo swala ni swala la maelewano tu

Wito kwa vijana wenzangu ambao bado hatuja yavaa majukumu ya ndoa naambia sasa hv niwakati muafaka sasa wakuyavaa majukumu tuacheni uoga na kusongizia vyuma kukaza maana haitafika cku vilegee kamwe zaidi vitazidi kukaza siku hadi siku.
 
radicals

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
4,431
2,000
Jamaa angu alitajiwa mil 7 sasa cku anapeleka mzigo asubuh kafumania meseji dem kagegwedwa usiku wake aloo tulikesha bar cku 3 mfulululizo yani hadi muuza nyama akawa anaitwa we nyama leta nyama.
mim nilipangiwa 6m, nmetoa 3m nkaahidi wanivumilie ntarud, mi niliwaambia kama utani nikijua mahari huwa haiiashi, juzi juzi nataka tuanze mipango ya ndoa na harusi wameniambia hawaniruhusu coz sijamalizia mahari, sasa hivi nmefikiriaaa,, natafakari, nataka niwaambie wanirudishie pesa yangu wabaki na binti yao
 
uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
599
1,000

Milion 3 unapata kiwanja msata au chanika
 
Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
1,931
2,000
mim nilipangiwa 6m, nmetoa 3m nkaahidi wanivumilie ntarud, mi niliwaambia kama utani nikijua mahari huwa haiiashi, juzi juzi nataka tuanze mipango ya ndoa na harusi wameniambia hawaniruhusu coz sijamalizia mahari, sasa hivi nmefikiriaaa,, natafakari, nataka niwaambie wanirudishie pesa yangu wabaki na binti yao

Duuu 6M mkuu this is too much usingekubali toka mwanzoni .....
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,669
2,000
Jamaa angu alitajiwa mil 7 sasa cku anapeleka mzigo asubuh kafumania meseji dem kagegwedwa usiku wake aloo tulikesha bar cku 3 mfulululizo yani hadi muuza nyama akawa anaitwa we nyama leta nyama.
Milion 7 silipi...mahari kubwa sana ambayo nitamshauri mtu alipe labda milion 2.5 tena awamu ya keanza inaenda milion 1
 
Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
1,931
2,000
Jamaa angu alitajiwa mil 7 sasa cku anapeleka mzigo asubuh kafumania meseji dem kagegwedwa usiku wake aloo tulikesha bar cku 3 mfulululizo yani hadi muuza nyama akawa anaitwa we nyama leta nyama.

Duu alikamata sms kabla hajapeleka mzigo kwa wakwe?
 
butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,426
2,000
mim nilipangiwa 6m, nmetoa 3m nkaahidi wanivumilie ntarud, mi niliwaambia kama utani nikijua mahari huwa haiiashi, juzi juzi nataka tuanze mipango ya ndoa na harusi wameniambia hawaniruhusu coz sijamalizia mahari, sasa hivi nmefikiriaaa,, natafakari, nataka niwaambie wanirudishie pesa yangu wabaki na binti yao
Duh,milioni 6!si unapata kiwanja kabisa jamani.
 
uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
599
1,000
Kuhusu ndoa kuvunjika nahisi ni ukosefu tu wa maelewano kwa wahusika cyo kwamba lina uhusiano na hilo la mahali kuwa kubwa

Jingine nikwamba cyo kwelj mkuu kama watu wote wanaotajiwa mahali kubwa kama hawapendwi na cyo lazima kutoa pesa yote ulo tajiwa kama kuna mtu alokwambia hvyo bac kakudanganya maana mpaka baba zetu wanadaiwa mahali mpka leo hawaja maliza so hilo swala ni swala la maelewano tu

Wito kwa vijana wenzangu ambao bado hatuja yavaa majukumu ya ndoa naambia sasa hv niwakati muafaka sasa wakuyavaa majukumu tuacheni uoga na kusongizia vyuma kukaza maana haitafika cku vilegee kamwe zaidi vitazidi kukaza siku hadi siku.
Mkuu iyo ndoa utafunga na nani
 
valet de chambre

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
528
500
mim nilipangiwa 6m, nmetoa 3m nkaahidi wanivumilie ntarud, mi niliwaambia kama utani nikijua mahari huwa haiiashi, juzi juzi nataka tuanze mipango ya ndoa na harusi wameniambia hawaniruhusu coz sijamalizia mahari, sasa hivi nmefikiriaaa,, natafakari, nataka niwaambie wanirudishie pesa yangu wabaki na binti yao

Safi kabisa Mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom