Majanga: Nimemtongoza msichana wa rafiki yangu

Majanga: Nimemtongoza msichana wa rafiki yangu

wasaa9

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
566
Reaction score
209
Nina rafiki yangu wa kiume tumeshibana sana kiasi kwamba changu chake chake changu.

Wik 2 before, aliniita hotel moja ili anitambulishe kwa msichana wake mpya (ingizo jipya ) aseee msichana ni kifaa akanitambulisha, mtoto mtoto kweli wowo ipo pia ya kutosha nikashindwa kujizui mtoto wa kiume coz niliona kama upele umefika kwa mkunaji na ndiyo maradhi yangu.

Nikawa nimechukua namba za simu kwa shemela but after 2days kamtongoza msichana akanipotezea but nikamsisiza jamaa asijue kama nimekuomba mambo, then kwa hasira nikaifuta namba yake.

Jana mida ya saa9 jion mtoto mwenyewe ananipigia simu na anasema amenikubalia ombi langu but nae anasema brother asiijue.

Naombeni ushauri, niivimbishe au nimpotezee?
 
nina rafik angu wa kiume tumeshibana sana kiac kwamba changu chake chake changu

Wik 2 before,aliniita hotel moja il anitambulishe kwa dem wake mpya (ingizo jipya ... ) aseee dem ni kifaa akanitambulisha , mtoto mtoto kwel woowwooww ipo pia ya kutosha nkashindwa kujizui mtoto was kiume coz niliona kama upele umefka kwa mkunaji na ndyo maradhi yangu

Nkawa nmechukua namba za cm kwa shemela but after 2days kamtongoza dem akanipotezea but nikamsisiza jamaa asijue kama nimekuomba mambo, then kwa hasira nkaifuta namba yake...

Jana mida ya saa9 jion mtoto mwenyewe ananipigia sm na anasema amenikublia ombi langu but nae anasema brother asiijue

Naombeni ushaur , niivimbishe au nimpotezee
uivyomtongoza ulitaka akubali au akatae?
 
Mimi naona kama ni rafiki yako na anamaingizo mapya mara kwa mara kuwa makini mkuu maana kuna maradhi ili akiukwaa wewe umuuguze.
 
Hawezi kuwa mvulana wa Dar, wanaume wa Dar hatuwezi kukutana kwasababu za kuonyeshana wanawake, kuwa na mwanamke huku kwetu ni jambo la kawaida siyo kitu cha kuonyesha kwa wenzako. Hayo ni mambo ya huko huko kwenu mikoani
Haaahhh , umejuaje mkuu
 
Kwa hiyo ukishaivimbisha unamuachia rafiki yako au ndio unamnyang'anya mazima. Hujapasema hapo mkuu.

Ila sio vizuri kabisa unavyofanya kwa sababu sidhani kama bila huyo rafiki yako ungeweza onana na huyo mdada. Muachie rafiki yako tafuta wako wacha kupenda mteremko mkuu. Kaa tu ukijua siku zote urafiki una faida zaidi kuliko uadui.
 
Kwa hiyo ukishaivimbisha unamuachia rafiki yako au ndio unamnyang'anya mazima. Hujapasema hapo mkuu.

Ila sio vizuri kabisa unavyofanya kwa sababu sidhani kama bila huyo rafiki yako ungeweza onana na huyo mdada. Muachie rafiki yako tafuta wako wacha kupenda mteremko mkuu. Kaa tu ukijua siku zote urafiki una faida zaidi kuliko uadui.
Kizur kula mwenzio
 
Back
Top Bottom