Msaada: mtoto wa miezi minne kukataa kunyonya ziwa la mama yake

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
565
250
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu

Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii ilitokea tu gafla baada ya mtoto kutoka usingizini

Hadi mida hii mtoto hataki kuona ata ziwa la mama yake, tumeshindwa kuelewa , madakitari ama watu wenye ufahamu ni hili swala naombeni msaada wa haraka I'll nieze kumsaidia mwanangu anahangaika
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,024
2,000
Shukurukwanza kuwa amenyonya mpaka miezi minne. Nunua SMA au ABC gold aendelee kunywa.
Mtoto anaanza kula vyakula vigumu vilivuopondwa kuanzia miezi sita lakini wengine wanaanza mapema. Unaweza kumjaribu uji mwepesi uliowekwa maziwa
 

Edison

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
544
500
Wakati mwingine maziwa ya mama yanakuwa mabaya kwa mtoto ndo maana watoto wengine hukataa kabisa kunyonya hata kabla ya miezi you're hiyo mtengenezee lishe na maziwa ya ngombe
 

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,352
2,000
solution ni nini sasa ili anyonye tena
Pole mkuuu,,kuna vitu viwili hapo,kwanza ni hali ya mtoto anaweza akawa anayafeel maziwa so matamu,,au mama yake may be alitoka sehemu (amesuka nywele au kuweka fasta au kajipodoa)kwa hiyo motto anaona so muhusika .Pili kuna mambo ya ushirikina au roho chafu imemuingia mzazi,,how hiyo roho chafu like pepo limemvaaa mama ,,mama anaonekana kwa mtoto ni MTU mwingine so mtoto hawezi nyonya,,,,Suluhisho go to church haraka mama aombewe ili pepo litoke mtoto at a nyonya tuuu
 

mpabony

Member
Aug 16, 2017
14
45
Cheki kama mama ame conceive mapema/intahekana,saa nyingine kuna repel kati ya dogo na aliyeko tumboni.yaani dogo ka zila.then shughulika na lishe.its normal atakua tu.
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,705
2,000
Kama haumwi, ndio basi tena kishakataa nyonyo hivo mtafutie formula aanze kunywa S26 gold ni mazuri.
 

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
546
1,000
Aende clinic ya Mama na mtoto watampima kiasi cha sukari kwenye maziwa na watampa suluhisho mtoto ataendelea kunyonya huwa inatokea
 

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
306
500
hiyo ni kawaida , mwananngu wa kiume aligoma maziwa ya mama yake ,pia mpaka leo ana miaka ,
watoto wengi wanagoma , nunua maziwa ya mikebe
 

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,910
2,000
Wa kwangu alianza kupuuzia kunyonya baada ya mwaka. Ilipofika mwaka na miezi miwili huyo akaacha moja kwa moja.
 

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
95
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu

Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii ilitokea tu gafla baada ya mtoto kutoka usingizini

Hadi mida hii mtoto hataki kuona ata ziwa la mama yake, tumeshindwa kuelewa , madakitari ama watu wenye ufahamu ni hili swala naombeni msaada wa haraka I'll nieze kumsaidia mwanangu anahangaika

Infections mara nyingi huwafanya watoto wasinyonye, mpeleke clinic mapema, halafu mtoto usimpe maziwa ya ng'ombe mpaka afikishe mwaka mmoja.
Usafi pia unatakiwa kuzingatia yawezekana ulishika matiti mikono ikiwa na kemikali ya vipodozi, hivyo inamwasha mtoto na pia inabadilisha ladha ya maziwa.
Kumbuka kuwa maziwa ya mama ndio chakula pekee chenye virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.

Watoto huanza kudumaa wakati huu, maana wengine wanawaanzishia uji au maziwa ya ngombe, jambo ambalo sio sahihi

Kumbuka viungo vya mtoto bado havijakomaa kwahiyo utakuwa una vi-overload. Viungo kama ini, digestive system, transportation system etc.

Maziwa ya ngombe yana calcium nyingi sana hivyo mtoto mdogo hana uwezo wa ku-metabolize hiyo calcium.

Mpeleke mtoto immediately kwa wataalam wa afya.By: Nutritionist
 

uniq

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
5,076
2,000
Tafuta pump ya kukamulia maziwa awe anakunywa na chupa. Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto. Hata mimi mtoto wangu wa kwanza ligoma tukanunu pump tukawa tuna kamua na kumpa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom