wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
Mwenye uzoefu na hili tafadhal naomba msaada , Npo kanda ya ziwa ninaproject kubwa ya kuzalishaji vifarangu vya kuku wa kienyeji na kuwakuza kwa kutumia incubator machine, kwahiyo nahitaj kujua bei na mahali znpopatkana mashine ya kutotoreshea vifaranga yenye uwezo wa kubeba mayai kuanzia mia moja(100)
Hivyo , muhusika au anayefahamu chochote kuhusu taarifa hii ata ushuri tu anisaidie nahitaji kuwa mjasiliamali mkubwa coz nlikuwa na project ya nguruwe tayar nmefuga na nmeanza na majike watatu wenye mimba na sasa wanendelea vzur.