Search results

  1. Merchante

    Hii ni kwa hustlers/wapambanaji wote

    Hii ni kwenu wanangu sana, wapambanaji & watafutaji wote. Haijalishi unatafuta katika mazingira gani, umezungukwa na nani, muda gani, mahala gani na kwa nani. Pambana mpaka tone la mwisho la jasho na damu yako. Mpambanaji au mtafutaji hakati tamaa na kijitoa uhai(kujiua). Hustler akikata tamaa...
  2. Merchante

    Uzi maalumu wa kupeana hamasa ya kuweka akiba/kuzichanga

    Wakuu Kama kichwa cha uzi kinavyojileza hapo juu. Kama mjuavyo wakuu, akiba ni kitu muhimu sana katika maisha,"akiba haiozi". Lengo la huu uzi ni kupeana hamasa ya kuzichanga mdogo mdogo, uzi huu utasaidia kuweka akiba ya kila tupatacho haijalishi ni kidogo kiasi gani,kisha mwisho wa mwaka huu...
  3. Merchante

    Ulianzaje kujenga nyumba yako ya kwanza?

    Wasalaam ndugu zangu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, lengo la huu uzi ni kupeana mbinu ni namna gani uliweza kuanza ujenzi. Uzi huu ni kwa wote, hapa namaanisha wale mliyofanikiwa kujenga, wale mliyokatika hatua za wali za ujenzi na pia wale mliyokatika hatua za mwisho za ujenzi. Lengo...
  4. Merchante

    Natafuta mafundi seremala 6-10 au hata kama una uwezo wa kutumia msumeno, nyundo na tape measure vizuri

    Wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu. Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps. Malipo ni TSH 25,000/= Per day. Ni muhimu na haraka sana...
  5. Merchante

    Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

    Wakuu! Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia. Ila, Mbususu...
  6. Merchante

    Msaada: Nahitaji kutoka katika hii nchi

    Habari zenu ndugu zangu, Natumaini mko salama kabisa na kwa wale wenye changamoto mbalimbali za kimaisha msikate tamaa kwani siku njema zi karibu. Nijikite katika mada husika, ni mimi kijana wenu Merchante nimerudi tena hapa jukwaani. Lengo kuu ni kuomba kusaidiwa & kupewa njia/namna ya...
  7. Merchante

    Niko njiani naelekea Moro, mliopo Morogoro au Dar naombeni mchongo

    Wasalaaam Bandugu! Kijana wenu Merchant niko barabarani muda huu natoka Mafinga nimepanda roli. LENGO KUU: Wadau wa Moro,mimi ndugu yenu Merchant nikifika hapo msinitupe,naombeni mchongo (KAZI). Nipeni dili! Nipeni dili! Wananzengo. Vyeti nimetupa kando,napiga kazi yoyote halali. PM iko wazi...
  8. Merchante

    Natafuta kazi yoyote ile halali mahala popote pale

    Wakuu! Kwanza nianze kwa kusema: MPIRA KWA KIPA SIRUDISHI KAMWE! Hatimae kwa mara nyingine tena narudi kwenu kuomba mnisaidie niweze kupata kazi yoyote ile ambayo ni halali,niko tayari kufanya kazi mahala popote pale. Kazi yoyote halali nafanya, pia ninafundishika hata kwa zile kazi ambazo...
  9. Merchante

    Narudi kwenu ndugu zangu kwa mara nyingine tena: Natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu! Poleni na majukumu ya kila siku, hatimae nimerudi tena katika jukwaa hiki kuomba msaada kwa yeyote yule ambae anaweza kunisaidia nikapata kazi yoyote ile ambayo ni halali. ELIMU YANGU: Bachelor Degree (BA Development Studies) EXPERIENCE (UZOEFU) ✓Data Collection ✓Data Analysis...
  10. Merchante

    Dodoma: Natafuta Chumba Single

    Habari wakuu!! Natafuta chumba single maeneo ya Nkuhungu au Chang'ombe Extension. Bajeti yangu ni 50,000/=
  11. Merchante

    Mrejesho: Nipo Morogoro, maisha yanazidi kunichakata haswaaa! Natafuta kazi yoyote halali

    Wanabodi! Kheri ya sikukuu ya Eid (Eid Mubarak). Ni matumaini yangu wengi wetu tuko salama na kwa wale wenye matatizo mbalimbali kwa imani yako utapata kupona. Wakuu yeyote mwenye connections ya kazi yoyote halali naomba anisaidie. Maisha yanazidi kuninyoosha kisawa sawa! Mitihani ni mingi...
  12. Merchante

    Mkoa upi naweza kwenda kutulia kimaisha?

    Wasalaam! wanabodi. Ni matumaini yangu wengi mko salama na kwa wale wenye madhila mbalimbali basi yule unae muamini akapate kukuponya. Niende moja kwa moja katika mada husika, kama kichwa kiavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikiishi katika mikoa mbalimbali katika shughuli za kujiingizia kipato...
  13. Merchante

    Msaada: LG G5 "Invalid SIM" problem.

    Wakuu, Naombeni msaada ndugu zangu,simu yangu (LG G5) baada ya kureset nikiweka line napata notification hii "Invalid SIM". Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom