Narudi kwenu ndugu zangu kwa mara nyingine tena: Natafuta kazi yoyote halali

Merchante

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,293
2,680
Wakuu!

Poleni na majukumu ya kila siku, hatimae nimerudi tena katika jukwaa hiki kuomba msaada kwa yeyote yule ambae anaweza kunisaidia nikapata kazi yoyote ile ambayo ni halali.

ELIMU YANGU:
Bachelor Degree (BA Development Studies)

EXPERIENCE (UZOEFU)
✓Data Collection
✓Data Analysis
✓Usimamizi wa miradi mbalimbali ya Serikali.
Hapa namaanisha ile ambayo huwa chini ya TASAF. Nilikua trained na TASAF as Local Services Provider (LSP).
✓Sales and Marketing
• Team Leader & Freelancer at,
Millicom International Cellular (MIC)-TIGO
Airtel Tanzania
Vodacom Tanzania
• Marketing Officer
Glide Lubricants Company
✓Customer Representative
✓ KAZI NGUMU

LOCATION
Kwa sasa niko Jiji la Dodoma hapa naendelea kupambana na maisha,ila niko tayari kufanya kazi mkoa wowote muda wowote nikihitajika hata kama ni kesho.

Ndugu zangu, naomba sana mnisaidie kijana wenu na mwenyezi MUNGU atawabariki.
 
Mno, unaamka asubuhi huelewi uende wapi na unakuta mfukoni hata senti hauna.
Inatesa sana hii hali,imewahi kunikuta jinsi nilivyopigika na maisha ukiniangalia unaweza kuhisi huyu KIBAKA

Siku moja nakumbuka nilimtembelea rafiki yangu ambae tulikuwa tuna-hustle nae na alikuwa akikaa kwenye nyumba fulani ya kupanga huko uswahili.

Huwezi amini ndugu msomaji kwa muonekana niliokuwa nao baada ya maisha kunipa kubwa nilikuwa naonekana kama KIBAKA kabisa.

Wapangaji baadhi walikuwa makoridoni wakiwa na mishe tofauti tofauti,nilishangaa baada ya kuingia pale kila mtu akawa anahamisha vitu vyake kutoka nje kwenda ndani.

Aiseee nilijisikia vibaya hakuna mfano.....ila kikubwa katika yote ni kutafuta bila kukata tamaa.

Njia ya mafanikio haijawahi kuwa nyepesi hata siku moja.
 
Ulivaa mlegezo?😅😅 Anyways hongera kwa kutokata tamaa kipindi unahangaika maana tumewapoteza vijana wenzetu wengi tu wanaoamua kuuchukua uhai wao.
 
Inatesa sana hii hali,imewahi kunikuta jinsi nilivyopigika na maisha ukiniangalia unaweza kuhisi huyu KIBAKA

Siku moja nakumbuka nilimtembelea rafiki yangu ambae tulikuwa tuna-hustle nae na alikuwa akikaa kwenye nyumba fulani ya kupanga huko uswahili.

Huwezi amini ndugu msomaji kwa muonekana niliokuwa nao baada ya maisha kunipa kubwa nilikuwa naonekana kama KIBAKA kabisa.

Wapangaji baadhi walikuwa makoridoni wakiwa na mishe tofauti tofauti,nilishangaa baada ya kuingia pale kila mtu akawa anahamisha vitu vyake kutoka nje kwenda ndani.

Aiseee nilijisikia vibaya hakuna mfano.....ila kikubwa katika yote ni kutafuta bila kukata tamaa.

Njia ya mafanikio haijawahi kuwa nyepesi hata siku moja.
dah mkuu nacheka lakini naogopa,maisha haya tunapitia mambo mengi sana mkuu. Ilichukua muda gani mpaka kuja kupata nafuu ya maisha?
 
Ulivaa mlegezo? Anyways hongera kwa kutokata tamaa kipindi unahangaika maana tumewapoteza vijana wenzetu wengi tu wanaoamua kuuchukua uhai wao.
Sahihi mkuu,mitihani ya kimaisha ni mingi sana kiasi kwamba usipokua makini unatoka kabisa nje ya mstari.
Kuna muda unapambana sana ila hakuna unachoambulia mpaka inafikia hatua unayaacha mambo yaende vile yanataka yenyewe.
 
Wakuu!

Poleni na majukumu ya kila siku, hatimae nimerudi tena katika jukwaa hiki kuomba msaada kwa yeyote yule ambae anaweza kunisaidia nikapata kazi yoyote ile ambayo ni halali.

ELIMU YANGU:
Bachelor Degree (BA Development Studies)

EXPERIENCE (UZOEFU)
✓Data Collection
✓Data Analysis
✓Usimamizi wa miradi mbalimbali ya Serikali.
Hapa namaanisha ile ambayo huwa chini ya TASAF. Nilikua trained na TASAF as Local Services Provider (LSP).
✓Sales and Marketing
• Team Leader & Freelancer at,
Millicom International Cellular (MIC)-TIGO
Airtel Tanzania
Vodacom Tanzania
• Marketing Officer
Glide Lubricants Company
✓Customer Representative
✓ KAZI NGUMU

LOCATION
Kwa sasa niko Jiji la Dodoma hapa naendelea kupambana na maisha,ila niko tayari kufanya kazi mkoa wowote muda wowote nikihitajika hata kama ni kesho.

Ndugu zangu, naomba sana mnisaidie kijana wenu na mwenyezi MUNGU atawabariki.
Unge jaribu kwenye viwanda. Kazi sio lazima ukae kwenye viyoyozi.
 
dah mkuu nacheka lakini naogopa,maisha haya tunapitia mambo mengi sana mkuu. Ilichukua muda gani mpaka kuja kupata nafuu ya maisha?
Nakumbuka nilisota kipindi kirefu sana kaka......ila kilichonisaidia nilikubaliana na mazingira niliyokuwanayo kwa wakati ule,na kujipa moyo kesho patakucha na neema.
 
Inatesa sana hii hali,imewahi kunikuta jinsi nilivyopigika na maisha ukiniangalia unaweza kuhisi huyu KIBAKA

Siku moja nakumbuka nilimtembelea rafiki yangu ambae tulikuwa tuna-hustle nae na alikuwa akikaa kwenye nyumba fulani ya kupanga huko uswahili.

Huwezi amini ndugu msomaji kwa muonekana niliokuwa nao baada ya maisha kunipa kubwa nilikuwa naonekana kama KIBAKA kabisa.

Wapangaji baadhi walikuwa makoridoni wakiwa na mishe tofauti tofauti,nilishangaa baada ya kuingia pale kila mtu akawa anahamisha vitu vyake kutoka nje kwenda ndani.

Aiseee nilijisikia vibaya hakuna mfano.....ila kikubwa katika yote ni kutafuta bila kukata tamaa.

Njia ya mafanikio haijawahi kuwa nyepesi hata siku moja.
Hahaha mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom