Search results

  1. youngforeva

    msaada tafadhali

    habari za jioni wapendwa..samahani mi nimehitimu mwaka jana chuo ,nisaidie katika kazi tafadhali 1.nimesomea journalism with mass communication 2.nimesomea kozi maalumu ya NEW AND SOCIAL MEDIA,KUTENGENEZA BLOGS NA KUZIENDESHA,kuendesha website na mitandao yote ya kijamii na mambo mengi...
  2. youngforeva

    mpasuko sehemu ya haja kubwa

    jamani naomba msaada wenu,maana mwenzenu nilikuwa najisaidia sana choo kigumu hadi nikapata mpasuko katika sehemu ya haja kubwa,nilielekezwa kutumia vidonge vya ANUS but ilinisaidia tu kukata damu iliyokuwa ikitoka nikijisaidia,,but mpasuko bado upo na mda fulani wanipa maumivu makali wakati wa...
  3. youngforeva

    Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

    Starehe pia na ulevi limeonekana ni tatizo linawakumba watanzania wengi mda wa kazi wanaacha kuendelea na kazi kwenda kufanya starehe mda wa kazi na kusahau mda huo ni wa kazi na sio mda wa kufanya starehe, hali hiyo nayo imekuwa kama chachu kwa vijana hawa kuweza kufurukuta katika soko la...
  4. youngforeva

    Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

    Uvivu na kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili kuruhusu nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania katika kushirikiana mambo mbalimbali ya...
  5. youngforeva

    Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

    jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na hayo maisha atayaendesha vipi,,akiwa malaya tena wataanza kumlaumu,,mi naona siyo haki bana...
  6. youngforeva

    je kuna udhaifu katika kudhibiti madawa ya kulevya kwa vijana

    AKIFAFANUA kuhusu uingizwaji wa madawa ya kulevya nchini,kijana mmoja aliyewahi kutumiwa kama mvushaji wa madawa hayo(jina linahifadhiwa) ya kulevya alifafanua kuwa,mambo kama hayo hayawezi kuzuilika hata kidogo kwani baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi kitengo cha kudhibiti madawa nchini...
  7. youngforeva

    bora nchi yenye uhuru wa habari

    ni bora kuishi katika nchi isiyokuwa na utawala wa serikali yyote lakini iwe na uhuru wa vyombo vya habari ili kutoa habari za kinachoendelea kwa wananchi kuliko kuishi katika nchi yenye serikali lakini hakuna uhuru wa vyombo vya habari maana waandishi na vyombo vya habari vinashindwa...
  8. youngforeva

    natafuta marafiki wa ukweli

    naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
  9. youngforeva

    Waandishi wa habari matatizo tu

    waandishi wengi wa habari wanashindwa kufanya kazi ambayo itawapa haki wananchi bali wanabaki kucoment maneno ambayo yameazungumzwa na wanasiasa wambea tu kama wao,,hawasemi matatizo waheshimiwa hao wanayosababisha ila wanabaki kusema uongo na kuopotosha jamii katika mambo mbalimbali eti kisa...
  10. youngforeva

    Basketball wapiiiiiiiiiii

    mi nashindwa kuelewa maana hapa nchini imekuwa kama vile nchi ni ya wacheza mipira ya miguu tu,watu wanaocheza basketball,volleyball hata hawathaminiwi kama wacheza mipiira ya miguu,maana hata hapa majuzi tumeshuhudia michezo ya wakimbia riadha hapa nchini lakini hakuna suport yoyote wanayopata...
  11. youngforeva

    kazi nzuri bungeni

    umma unapaswa kulindwa kwa heshima na wabunge wa nchi yetu kama walivofanya kulitetea shirika la chd jana bungeni..hongereni sana
Back
Top Bottom