Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
Starehe pia na ulevi limeonekana ni tatizo linawakumba watanzania wengi mda wa kazi wanaacha kuendelea na kazi kwenda kufanya starehe mda wa kazi na kusahau mda huo ni wa kazi na sio mda wa kufanya starehe, hali hiyo nayo imekuwa kama chachu kwa vijana hawa kuweza kufurukuta katika soko la Afrika mashariki, Bi ,Zahara, mkurugenzi wa makampuni mbalimbali yanayohusika na uzlishaji alikuwa na haya ya kusema:

"Uvivu ni tatizo hasa maana mda wa kazi unakuta mtu yupo amesinzia au anaongea na simu mda mrefu na kusahau kuwa yupo kazini, asubuhi mapema mtu yuko ‘facebook' au ‘yahoo messenger'anachati na kuacha kufanya kazi eti kisa kuna mtandao wakati mi nimeweka mtandao wa kazi.

Na pia vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu mtu ukimuamini siku mbili hakawii kukuibia na kutoka na wakati mwingine anakuwa sio mwaminifu katika biashara unayompa kufanya, kwa hali hiyo mimi naona watashindwa kulimudu soko huru la Afrika mashariki".more check Vijana Tanzania
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom