Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana tanzania na soko huru la A. Mashariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by youngforeva, Oct 3, 2011.

 1. youngforeva

  youngforeva Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uvivu na kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili kuruhusu nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi na Tanzania katika kushirikiana mambo mbalimbali ya kiuchumi ili kukuza uchumi wa pamoja wa Afrika mashariki.
  Hali hiyo imeweza kujionesha katika makampuni mbalimbali wageni kutoka nje ya nchi kama Kenya na Uganda kupewa kipaumbele zaidi katika ofisi mbalimbali na kumiliki nafasi za juu za uongozi huku vijana wa kitanzania wakibaki kushika nafasi za chini sana kama usekretari,mesenja na ufagiaji wa maofisini hali ambayo imekuwa ikiwaumiza vijana wengi wa kitanzania lakini mkurugenzi mmoja wa kampuni ya masoko(jina linahifadhiwa) alikuwa na haya ya kusema......more ready....Vijana Tanzania
   
Loading...