youngforeva
Member
- Apr 26, 2011
- 25
- 1
[h=6]ni bora kuishi katika nchi isiyokuwa na utawala wa serikali yyote lakini iwe na uhuru wa vyombo vya habari ili kutoa habari za kinachoendelea kwa wananchi kuliko kuishi katika nchi yenye serikali lakini hakuna uhuru wa vyombo vya habari maana waandishi na vyombo vya habari vinashindwa kuandika ukweli wa mambo kwa kuogopa kufungiwa vyombo vyao na wenye madaraka,,hivyo wananchi wanabaki gizani.......bora kuchagua jema[/h]