msaada tafadhali

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
habari za jioni wapendwa..samahani mi nimehitimu mwaka jana chuo ,nisaidie katika kazi tafadhali
1.nimesomea journalism with mass communication
2.nimesomea kozi maalumu ya NEW AND SOCIAL MEDIA,KUTENGENEZA BLOGS NA KUZIENDESHA,kuendesha website na mitandao yote ya kijamii na mambo mengi yanayohusiana na masuala ya mawasiliano,,,tafadhali nisaidieni katika hilo nimejaribu kutuma maombi ila bado sijafanikiwa
 
Back
Top Bottom