Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na hayo maisha atayaendesha vipi,,akiwa malaya tena wataanza kumlaumu,,mi naona siyo haki bana wamuache aendelee maana hata hao waliomsimamisha wenyewe ndiyo wachafu kuliko sema kwa vile tu sio maarufu wangekuwa wa kwanza kusimamishwa,,maana tuna skendo zao kibao ila tumezitunza tu
 

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,546
5,674
Bongo movie yote imeoza. Ningekuwa na uwezo ningewafungia wote.
 

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
hakuna aliyeoza bana hayo ni maisha ya kawaida tena watu wa huku uswahilini ambao hawajulikani mbona ndio wameoza kuliko hao wa bongo movie ila hamuwasemi
 

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
vitu vingine vinachekesha na kusikitisha..hao bongo movie ndio wakina nani wenye akili finyu namna hiyo ?badala ya kusaidia sanaa ikuwe wanaendekeza majungu. unaweza fuatilia ukakuta kuna mtu alinyimwa penzi na huyo binti...wanaakili kama za Nape
umeona eh hata mi nilihisi hivyo maana mtu huwezi msimamisha mtu yule kisa ana nyodo mbona hao viongozi wenyewe wanagombana kila siku kati ya shirikisho na chama halafu hawajiuzulu basi na wao wajiuzulu ili tujue
 

Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
Atakua ameombwa atoe tunda lakati wamchape mipini kakataa ndio mana wamemfungia,kama ni hiyo sababu bora wakufungie kuliko kudhalilisha utu wako dada.
 

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
iyo bongo muvi yenyewe ujinga mtupu hwana jipya ingefungiwa yote tu
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,654
6,360
hakuna aliyeoza bana hayo ni maisha ya kawaida tena watu wa huku uswahilini ambao hawajulikani mbona ndio wameoza kuliko hao wa bongo movie ila hamuwasemi

sheria inafata mkondo wake bila kulinganisha pande tofauti,eti uswailin ni zaid ya aunt ezekiel,kwahiyo asifungiwe kisa uswaz ni zaid.
 

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
Hiyo bongo movie ni nini? Ina mamlaka gani?
Ipo kwa sheria ipi? Ipo chini ya wizara gani? Nani ana iongoza? Imeanza lini? Ina miliki nini?

Mbona mnanichefua hamjui kuwa ccm washatuuzi jamani?
 
  • Thanks
Reactions: ram

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom