Waandishi wa habari matatizo tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari matatizo tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by youngforeva, Jul 3, 2011.

 1. youngforeva

  youngforeva Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waandishi wengi wa habari wanashindwa kufanya kazi ambayo itawapa haki wananchi bali wanabaki kucoment maneno ambayo yameazungumzwa na wanasiasa wambea tu kama wao,,hawasemi matatizo waheshimiwa hao wanayosababisha ila wanabaki kusema uongo na kuopotosha jamii katika mambo mbalimbali eti kisa takrima..na hii ndiyo sababu kubwa iliyosababisha tukashindwa kujua sakata la mmiliki wa dowans kalipwa lini kisa waandishi wote walinunuliwa na kuishia kutoa habari za babu waloliondo na kusahau mmilikiwa dowans,kuja kushituka jamm kashalipwa pesa na kusepa bila hata kupigwa picha..yaani hata sijui wanatetea masilahi ya watu gani...NA NDIO SABABU HATA SASA WAMESAHAU TATIZO LA UMEME NA KUISHIA KUANDIKA JUU YA POSHO WAKATI WATU TUNATESEKA NA MGAO
   
Loading...