Search results

  1. C

    Mawakala wa bitcoin na etherium wanahitajika

    Heloo wakuu, Wale mawakala wa bitcoin na etherium nawahitaji ikiwezekana waniunge kwenye magroup yao ya whatsapp nilikuwa nazihitaji. Nimeamua nihamie kwenye cryptocurrency na zile fursa nzuri nzuri za cryptocurreny msisahau kunishirikisha
  2. C

    Msaada wa jinsi ya kupata wakala mkuu wa bidhaa yangu

    Pole na majukumu ya siku wapendwa Nimeamua kuja katika forum hii lengo kuu likiwa ni kutaka kujua ni namna gani ayctaratibu zipi naweza kupata wakala mkuu wa kuweza kuchukua bidhaa yangu pindi inapozalishwa tu kiwandani Kwa ufupi mimi ni mzalishaji wa bidhaa ya mafuta ya mgando na bidhaa...
  3. C

    Nimejipatia fursa kama unataka majina ya walioajiriwa tarehe 22 dec 2017 nakutumia kwa 1000 tu

    Kama unahtaji majina ya ajira mpya natuma kwa buku kwa njia ya whatsapp namba 0653573094 hii namba haipo whatsap piga tu Ipo kwa mfumo wa pdf
  4. C

    Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

    Jamani kuna wizi umetokea kwa yule mwenye namba ya sirro anipm saivi
  5. C

    Incubator inayotumia mafuta ya taa

    Hello members habari za mihangaiko na shughuli za kila siku I hope ni wazima wa afya Mimi ni mjasiriamali ambaye mara nyingi najihusisha na maswala ya kutoa training za masomo mbalimbali kwa vikundi mbalimbali tena bila malipo ama hakika itoshe kwamba watu wengi wameweza kunufaika na mafunzo...
  6. C

    Guest Dar kwa vyumba vya kawaida sh ngapi?

    Helo habari za usiku mabibi na mabwana! Hivi kuna anayejua bei za vyumba katka nyumba za kulala wageni Dar. Msaada tafadhali kuna mtu anataka aje Dar kufanya shughuli zake anategemea kukaa mwezi guest kwa hiyo alitaka kujua bei halisi ili awe na mahesabu kamili. Msaada kwa anayejua
  7. C

    Msaada kuhusu hati ya kusafiria

    Helloh wakubwa na wadogo natumaini mu wazima wa afya Mimi ni mtanzania halali wa taifa hili Ila kwa sasa sina kitambulisho chochote zaidi ya cheti cha kuzaliwa sasa nilikuwa naomba msaada ya kuwa ni jinsi gani naweza kupata pasport ya kusafiria na angali sina kitambulisho cha uraia wala mpiga...
  8. C

    Forex inafaida nimeshuhudia mwenyewe

    Helloo wa ndugu kati ya watu wabishi na mimi nimo lakini kuinvest kwenye biashara hii kweli nilijitoa mhanga na saivi nitakuwa nina uhakika wa kulaza zaidi ya sh 70000 kama faida per day kwa ssbsbu juzi nilijaribu kiwekeza tsh 60000 lakini leo nimepata faida ya tsh 42000 nitadumu ila kwa yule...
  9. C

    Vitambulisho vya kitaifa

    Hi ! Kwa sheria za nchi yetu ili uweze kuishi kwa amani ni muhimu ukawa na kitambulisho kinachokutambulisha ya kuwa wewe ni raia wa tanzania na vitambulisho hivyo ni pamoja na Kitambulisho cha mpiga kura Kitambulisho cha uraia n.k Na hivi ndivyo vinakusaidia kwenye mambo mbalimbali kama...
  10. C

    Anayeijua vizuri app ya mtk engeneering ukuje tafadhali

    Msaada hapo wakuu kwa yule unayejua vizuri app ya mtk msaada tafadhali Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  11. C

    Mwenye kujua kuunga kifurushi cha 5000 kwa mwezi

    Kama nilivyofafanua kwa yule anayejua jinsi ya kuunga kifurushi cha 5000 ambacho unapewa dakika 1400 kwa mwezi mitandao yote njoo pm au nitafute 0625840448
  12. C

    Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

    Hi Nimeona vema sana kuanzisha uzi huu baada ya kuona watu wengi wamepoteza shauku la kuishi hii ni kwa sababu ya kushindwa kupata majibu kamili ya kile anachokihitaji hivyo tunaamini humu ndani kuna wataalamu wa kila sekta ikiwemo masuala ya uchumu,siasa,imani,mapenzi,afya,na masuala...
  13. C

    Vitu muhimu vya kuuza mgahawani ni vipi ili vilete faida?

    Hello! Naombeni msaada kujua vitu muhimu ambavyo unaweza kuuza kwenye mgahawa na vikakuletea faida na vinapendwa na watu ukiachilia mbali na wali,chai na maandazi
  14. C

    Waliowahi kulizwa na waganga wa kienyeji waje hapa

    Ebu tuambie ilikuwaje mpaka ukalizwa
  15. C

    Nini maana ya neno hili??

    R.I.P samahani jamani naomba msaada Wa tafsiri Wa neno hili maana ni Mara nyingi nimeliona likitumika misibani Na kama MTU kafariki , kupokea/kutoa taarifa za kifo R.I.P ni nini maana yake??? R.I.P. msaada tafadhari maana nimejikuta napenda kulitumia angali sijui tafsri yake
  16. C

    Nitaitambuaje kuwa mimba ni yangu?

    Helo wakuu, Ninaombeni msaada, kama kuna mbinu mbalimbali za asili za kutambua kuwa mimba ni yako au hata kama kuna vipimo ambavyo vinaweza kuonyesha maabara kwamba hii mimba ni yangu na vipi gharama zake?
  17. C

    Pete ya bahati: Nini faida na madhara yake?

    Hivi ni nini faida na madhara ya pete hizi na kama kuna mtu anajua zaidi atusaidie ufafanuzi.
  18. C

    HUU NI UNABII WA MUNGU AU NINI???

    Habari za mchana ndugu zanguni! Kuna mambo mengine hata upinge kiasi gani yatabaki palepale hii ni kutokana Na uthibitisho nilioweza kuushuhudia kwa macho yangu mwenyewe jinsi mambo yanavoenda ! KUNA WATU FULANI HIVI WALIKUJA MITAA YETU NA KUTOA MATANGAZO KWA NJIA YA REDIO WAKIDAI...
  19. C

    Bei ya pool table

    Poleni na majukumu Samahani kwa anatejua bei za pool table na faida zake. Msaada tafadhali
  20. C

    Nimeibiwa pesa kiuchawi nifanyaje?

    Hi, Jamani pesa zangu zimepotea kwa mazingira ya kutatanisha nifanyaje naombeni msaada? Najua mshana Jr, Mzizi mkavu na wengineo wataalamu wa mambo haya mtanisaidia.
Back
Top Bottom