comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Pole na majukumu ya siku wapendwa
Nimeamua kuja katika forum hii lengo kuu likiwa ni kutaka kujua ni namna gani ayctaratibu zipi naweza kupata wakala mkuu wa kuweza kuchukua bidhaa yangu pindi inapozalishwa tu kiwandani
Kwa ufupi mimi ni mzalishaji wa bidhaa ya mafuta ya mgando na bidhaa zingine za viwandani kwa anayejua naombeni jinsi gan ntawapata/taratibu zipi za kufuata naombeni msaada tafadhali