C comesucces Senior Member Feb 21, 2017 160 105 May 8, 2017 #1 Poleni na majukumu Samahani kwa anatejua bei za pool table na faida zake. Msaada tafadhali
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,469 70,587 May 9, 2017 #2 mkuu sijui bei yake ila nakushauri nenda kwenye Bar kubwa au Night club mtafute pool master atakuelekeza
mkuu sijui bei yake ila nakushauri nenda kwenye Bar kubwa au Night club mtafute pool master atakuelekeza