comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Hello members habari za mihangaiko na shughuli za kila siku I hope ni wazima wa afya
Mimi ni mjasiriamali ambaye mara nyingi najihusisha na maswala ya kutoa training za masomo mbalimbali kwa vikundi mbalimbali tena bila malipo ama hakika itoshe kwamba watu wengi wameweza kunufaika na mafunzo mengi ambayo nilikuwa nikiyafundisha watu hao
Na saivi napokea simu nyingi za kutoka kwa watu wakishuhudia jinsi walivyoweza kufanikiwa kutengeneza bidhaa zao na namna ubora wa bidhaa hizo zinavyosifiwa na watu
Lakini pia nimekuwa
ni mtu ambaye nikiwashauri watu mbalimbali juu ya biashara zao na namna ambavyo wanaweza kupangilia mambo yao na wakaweza kufanikiwa zaidi
Leo hii nimekuja kivingine baada ya kuona watu wengi wanahitaji na kunipigia simu kutoka sehemu mbalimbali wakihitaji kupatiwa mafunzo haya ya incubator za kutumia mafuta ya taa nimeona ni vema nikaanza na watu 20 tu ambao hawa baada ya mwezi mmoja baada ya kufundishwa na kwenda kuzitumua watakuja kutuhakikishia jinsi mashine zao zilivyo fanya kazi ndipo hapo nitahitaji watu hamsini kwa ada ya tsh 40000 kwa kila mmoja ili wapatiwe hayo mafunzo
Ila kwa sasa hawa watu 20 nitaanza nao kwa gharama ndogo sana ambayo sidhani kama kuna mtu Atashindwa kulipia na kama utaona hela hii ambayo utatoa itakuwa ngumu kwako basi wewe
Endelea kulala na kuku ndani
Kwa maana elimu hii nayokupatia ni ya kudumu miaka yako yote
Sifa za mjasiriamali
1.anajiamini
2.ni mtu anayethubutu kufanya jambo hata pale wengine wanaona kero
3.anayechukua tahadhari
4.anayeweza kutumia vitu vinavyomzunguka na kumwingizia faida.
5.awe anauwezo wa kushawishi wengine
6.mtu ambaye anazichukulia changamoto kama ni njia ya kujifunza kwake na nyingine nying
Lakini pia kwa watu watakaojiunga na mafunzo haya watapatiwa vitabu saba
Ambavyo vinaelezea maswala ya ufugaji wa kuku tangu kifaranga, chakula, matibabu, mabanda bora na namna ya kupata vifaranga wengi kwa muda mfupi hivi vitabu kwa hawa watu 20 wa mwanzo watapatiwa bure ila kwa hawa watu hamsini baadae watapatiwa kwa shilingi elfu tano kwa kila kitabu
Je… umewahi nafasi
Au umechelewa
Naam Kwa saivi bado nafasi zipo ila baada ya kuona nafasi zimejaa sitapokea tena mtu mwingine mpaka hapo nitakapoitisha darasa lingine la watu 50 ambao nategemea litakuwa mwezi wa 11 katikati baada ya hawa watu wa kwanza kutoa mirejesho yao
Kwa wale wanaotaka kuwa wa kwanza kupata haya mafunzo kwa bei ya shilingi. 7000 na kupatiwa vitabu bure kama ofa basi jiunge hapa katika group la whatsap
Follow this link to join my WhatsApp group: Incubator ya mafuta ya taa
NOTE
NATAKA WATU AMBAO WAKO SERIUS NA SI WALE AMBAO PINDI MAFUNZO YANAANZA WANAKUWA HAWAPO ONLINE
NAWAHAKIKISHIA KUWA TUTAKUWA NA RATIBA RAFIKI KWA KILA MTU