Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Jamani kuna wizi umetokea kwa yule mwenye namba ya sirro anipm saivi
 
Pole piga kituo cha polisi kilichopo karibu na wewe,wapi huko toa maelezo ya kutosha
 
Jamani kuna wizi umetokea kwa yule mwenye namba ya sirro anipm saivi
Ina maana huko kwenu hakuna kituo cha POLISI? Mkuu wacha uchochezi wewe,, unataka kutupaka matope kwamba hatuwajibiki? Hii siyo sawa kabisa kiongozi wangu!
 
kwaiyo unataka kumpa report ya wizi au aje kupambana na wez
 
Jamani ni wizi wa kimtandao aisee sidhani kama kituo cha kata watafanyia kwa wakati na limecompose watu zaidi ya mia nne waliobiwa pesa zaidi ya million mia tatu ko msijaji sana wakuu
 
Hata sirro atakwambia karipoti kituo cha karibu na wewe, so usipoteze muda nenda kituo chochote ripoti utasaidiwa. Hata ukimwambia sirro hawezi kufanya yeye watafanya wengne
 
Wasiliana na viongozi wako wa mtaa watalata namba za Polisi jirani na eneo lako sasa Sirro ukimpigia kama yupo nje ya Nchi atakuja kama Upepo
 
Kama ni wizi wa mtandao, watanzania wengi wanapenda sana short cut.

Usawa huu nijipeleke tu kwenye danganya toto ya utajiri mitandaoni??

Ningekutafutia namba lakini sioni sababu za msingi za kufanya hivyo.

Wajinga ndo waliwao
 
Sio lazima uandike
 
Jamani ni wizi wa kimtandao aisee sidhani kama kituo cha kata watafanyia kwa wakati na limecompose watu zaidi ya mia nne waliobiwa pesa zaidi ya million mia tatu ko msijaji sana wakuu
Elezea basi imekuaje kuaje na Ni nan huyo anaibia watu kimtandao Ili kuwasaidia wengine Kama wewe humu ndani wasiingie mkenge
 
Back
Top Bottom