comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Helo habari za usiku mabibi na mabwana!
Hivi kuna anayejua bei za vyumba katka nyumba za kulala wageni Dar.
Msaada tafadhali kuna mtu anataka aje Dar kufanya shughuli zake anategemea kukaa mwezi guest kwa hiyo alitaka kujua bei halisi ili awe na mahesabu kamili.
Msaada kwa anayejua