Search results

  1. sir mweli

    Huu sasa ni uonevu!!!!

    Habari wadau, Leo nimetoka zangu job, nikasema nipitie kwa jamaa nlimwachia kazi anibanie CD ya nyimbo za Manton..Nimefika pale jamaa bado ajamaliza, basi nikasema nikae nisubirie maana nyimbo nyingine alikuwa hana hivyo inabidi azidanlod..... Tumekaa pale mara wakaja polisi kama 11 wenye...
  2. sir mweli

    Mafisadi wanawaficha mafisadi, na walioko Nje si Mafisadi

    Habari wakuu.. Tangu mwaka 2015 kuna watu walikuwa wakinyooshewa vidole kuwa ni mafisadi.Na wakatuaminisha kuwa endapo wataingia madarakani watawaanzisha mahakama ya mafisadi ili wayafunge hayo mafisadi. Madaraka wakapewa ila cha ajabu bado wanalia na kunyoosha vidole kuwa yule ni fisadi...
  3. sir mweli

    Debate: CCM vs CHADEMA. Ukiitishwa uchaguzi wa haki Leo Nani atashinda

    Habari wadau, naomba wenye fact mje tujadili . Ukiitishwa uchaguzi leo wa usawa na haki kati ya CCM na CDM nani atashinda? Naomba tuchangie kwa fact, point to point, Jazba, matusi visiwepo kwan hapo itasomeka kama moja ya dalili za kushindwa...Naanza Mimi... CCM itashindwa. Paka sasa...
  4. sir mweli

    Waliotangaza kuhamia CCM arusha walikuwa wamepangwa

    Leo mchana nimeshuhudia rais akiwakaribisha walioamia CCM. Ingawa nasikitika shughuli za kiserekali zikichanganywa na za kivyama huku wengine wakifungiwa kufanya shughuli kama hizo....This is unfair... Chakusikitika zaidi mi wale waliotangaza kuhamia CCM... Binafsi nlikuwa nawasikiliza kwa...
  5. sir mweli

    Tuliosoma Pugu Boyz njooni hapa tupige story

    Tuliosoma Pugu boyz kuanzia miaka ya 2000 kuja juu njooni tupigeni story, kwanza mi nauliza kila Mara nipitapo ile njia kuelekea Kajiungeni huwa hali yangu inabadilika. Huwa nahisi kama narudi gerezani. Kiufupi nahisi nime afectika kisaikolojia na ile life ya pale, sijui nyie wenzangu...
  6. sir mweli

    Siku 100 za rais wa Ghana Atenga dola milioni 100 kujenga viwanda .

    Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12. Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion 100 million kwa ajili ya ujenzi wa viwanda. Source BBC: Kaswali ka kizushi : Mwaka na nusu wa...
  7. sir mweli

    Jamani Trafic mtatuua

    Hii ni wiki ya pili kila nikilala naota Nmekamatwa na Trafic. Leo asubuhi nimeamka naenda kuoga nakutana na jirani yangu nae katoka kuoga kajifunga taulo jeupe na kichwani kavaa mfuko mweusi kuzuia maji... Nkashtuka kidogo nirudi ndani speed maana nmeona kama Trafic vile. Jamaani kama ni njaa...
  8. sir mweli

    Asa kama morinyo anaijua chelsea alichokuwa anafel ni nini ?

    Jana nimeshuhudia Man u wakinichezea mpira flan hivi hadi nkaona raha.. Paka sikutamani muda uishe. Sjui alichokuwa anafeli morinyo ni nini kama alikuwa anajua Herera anaeza mweka kifuan hazard paka ajiona hajui Mpira... Costa kafichwa na baily paka anaomba poo.. Kante kajiona kama ndo anaanza...
  9. sir mweli

    Amini usiamini Leicester City wanaenda kuchukua UEFA champions league msimu huu

    They way no one expected that leicester could win the premier leage last season.. The same way no one will believe this. But time will talk.. Lets wait, but keep this in your mind Leicester is going to take this cup.
  10. sir mweli

    Hii kamata kamata ya watu bila taarifa, wizara husika zitolee ufafanuzi

    Kumezuka Tabia ya watu kuvamia watu na kuwakamata bila hata kujitambulisha wao ni kina nani na wanatokea wapi. Tumeskia Roma kakamatwa na hajulikani alipo, wapo waliokamtwa kama hivyo na miezi sasa imepita bado hawajulikani walipo. Swali langu.. Hivi serekali hususani wizara husika mbona...
  11. sir mweli

    Tuweni makini wakati wa kuwapa watoto majina

    Hili limekuwa tatizo sasa, wazazi mnawapa watoto wenu mizigo bila kujua. Majina yana tabia ya ku-reflect tabia ya mhusika... Mfano mtu anaitwa mashaka, tabu, shida, mawazo,hatia,majuto. Matokeo yake mtoto akiwa mbaya mnaanza kumlaumu kumbe shida ni nyie. Mfano mtu anaitwa kilevi... Alafu...
  12. sir mweli

    Tujikumbushe ahadi za waheshimiwa kipindi cha kampeni

    Najaribu kukumbuka ahadi za wakuu wetu kipindi kile cha kampeni.. Zilikuwa tamu sana tujikumbushe kidogo. Babu nywele nyeupe alituahidi vingi, ngoja nimuulize kama bado anazikumbuka au ndo kashatupa jongoo :- Mzeee, Vip kuboresha makazi hasa ya watu wa vijijini Vipi ahadi za kumsitiri mama...
  13. sir mweli

    Natafuta chumba tandika

    Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage
  14. sir mweli

    Mrejesho : Hatimaye arsenal kakubali mualiko

    Dear arsenal, Nashkuru sana kwa kukubali mwaliko wa kuja kuchukua zawadi yako ya nafasi ya sita. Kama nilivyokwisha kusema mwanzoni kuwa nafasi hii nilipewa na kuambiwa niitunze paka nitakapompata mwaminifu kama mimi nimpatie, hatimaye nikakupata wewe. Natumai utaitunza paka mwisho wa...
  15. sir mweli

    Barua maalum kwa rafiki yangu Arsenal

    Dear Arsenal Natumai u mzima, Napenda kukujulisha kwamba kesho ntakukabidhi zawadi ya nafasi ya sita , zawadi hii nilipewa kwa mashart kuwa endapo na mimi nikimpata mtu mwaminifu nimpatatie, nimesubir sana ila hatimae nimekupata wewe. Natumaini utaitunza nafasi hii hadi mwisho wa...
Back
Top Bottom