Siku 100 za rais wa Ghana Atenga dola milioni 100 kujenga viwanda .

sir mweli

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
495
573
Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12.
Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion 100 million kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Source BBC:

Kaswali ka kizushi :
Mwaka na nusu wa Dereva wa lori letu.. Uchumi umepanda kiasi gani ?
Ameidhinisha kiasi gani kujenga viwanda ?
Anaejua lori linaelekea wapi na paka sasa limefika wapi aniambie.
 
Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Mkuu mbona unatoka povu sana! Rais alisema "dereva wa gari" na gari linaweza kuwa lori!! Hoja ya nchi kuwa lori ameanzisha rais wako...nenda kamwambie rais kwamba nchi sio lori na sio kumtolea mleta mada povu!!!
 
Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Broo mbona Nchi kuiita Lori si mimi... Bali ni mkuu mwenyewe alisema anaendesha Lori na hasikilizi abiria.. Kama kudhihaki basi mkuu kaanza kutudhihaki.. Na kama ni ujinga Basi mkuu ndo kubwa la majinga... Inaelekea ulikuwa nje ya nchi ndo umerud hujui kinachoendelea... Basi kwa taarifa yako upo kwenye lori... V
 
Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12.
Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion 100 million kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Source BBC:

Kaswali ka kizushi :
Mwaka na nusu wa Dereva wa lori letu.. Uchumi umepanda kiasi gani ?
Ameidhinisha kiasi gani kujenga viwanda ?
Anaejua lori linaelekea wapi na paka sasa limefika wapi aniambie.
Umechemsha .... Data mfu.
 
mbona hizo pesa ni ndogo kuliko tulizotumia kujengea mradi wa mwendokasi
 
Nchi au Serikali yoyote ukisikia Imetenga kiasi cha Fedha kujenga Viwanda Tambua hizo ni Siasa Nyepesi!

Serikali hazijengi Viwanda Bali zinachochea Ujenzi wa Viwanda!

Siasa na Uchumi wa Ujamaa ulishaanguka na ukiona Mtu anajifaragua kutaka Serikali ndio iwekeze kwny Biashara tambua huyo Mtu ni Maamuma kwny Mambo ya Uchumi!

Bombardier sasa linashindwa kujiendesha japo kuwa limepewa Mtaji wa Kununua Ndege bure Hakuna cha Riba ya Mkopo wala Marejesho ya Mkopo lakin Lina yumba lipo busy kukimbizana na Wanaoiba Mafuta ya Ndege badala ya Biashara yenyewe
 
Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Mkuu wa nchi ndo anatuita Roli..au ujui na wewe ni abiria wa Roli
 
Back
Top Bottom