maeneo ya mwembe yanga kuna chumba na sebule ndani ya geti kodi laki 6 miezi sitaNatafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage
laki moja kwa vyumba vyote viwiliLaki 6 miezi sita!!! Unamaanisha kodi kwa mwezi ni laki 6 au laki 1??