Waliotangaza kuhamia CCM arusha walikuwa wamepangwa

sir mweli

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
495
572
Leo mchana nimeshuhudia rais akiwakaribisha walioamia CCM.
Ingawa nasikitika shughuli za kiserekali zikichanganywa na za kivyama huku wengine wakifungiwa kufanya shughuli kama hizo....This is unfair...
Chakusikitika zaidi mi wale waliotangaza kuhamia CCM...
Binafsi nlikuwa nawasikiliza kwa makini..ndipo nlipogundua hawa jamaa walikuwa wamepangwa.
Kilichonifanya niamini hivyo ni baada ya kuona baadhi yao wakibabaika kutaja chama walipotoka
Mmoja alisema "Mimi nlikuwa (akataja cheo) wa chama cha CC...WA chama cha chadema".
Mwingine ndo alishindwa kabisa kugundua kama kakosea akazidi kuendelea hivyo hiyo kwamba " Mimi nlikuwa (akataja cheo) wa CCM, na Leo nimeamua kuhama na kuhamia CCM"

Kwa mwenyewe akili anagundua tu kuwa ni wafuasi wa CCM ndo maana limewakaa kinywani....

Niwashauri tu kuwa hivyo ni sawa na kujiibia mwenyewe kama c kujidanganya...
 
Kwa kifupi ni sawa na kuachana na mke wako wa ndoa halafu kila mmoja anapata mwenzake mwingine halafu kisirisiri mnaendelea kuchepuka na kuwa-cheat wenzawenu wapya, this is nonsense
 
Ww endelea kujipa moyo, madiwani mlisema wamenunuliwa. Nyie jidaganyeni kwenye mitandao
 
Si mlisema wameandika barua ya kurudi CHAGADEMA sasa nafikiri wamewathibitishia kuwa wamemkimbia Makengeza na Mamvi sasa mnawashwa washwa nini?
 
Ccm moto na inachapa kazi na wanao ludi wameona ukweli lakini hatushangai sungula alikosa ndizi akaseme hizi ni mbichi hao wameona ukweli magufuli anavyo chapakazi tuuuuuuuuuuuuuuuu baba chapa kazi usiludinjuma
 
Back
Top Bottom