Search results

  1. al abry

    JICHO LA TOFAUTI:- Usaliti na Mapenzi kinyume na maumbile chanzo cha anguko la Adam na Eva

    maandiko hayakusema kuhusu tundu la nyuma.nafikiri ni vyema tuliridhike tu na maandiko tusije jikuta tunaingia kwenye dhambi kubwa ya kufsiri na kusambaza uzushi kwenye mambo haya ya kiimani.kama ingekua hivyo kwanin isingeelezewa direct kana ilivyokua qaumu lluutwi?(SODOMA NA GOMORA). Sent...
  2. al abry

    Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao.

    Umri wako unakuhukum..wangekuachia remote wewe ungejisahau tena na vile kua gate kali ungenogewa wacha wakukomeshe.rud kijijin bwana usiwe kubwa jinga
  3. al abry

    Historia ya Aziz Ali

    hahahha[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
  4. al abry

    Zijue Familia Mbili za Kiyahudi Duniani zinazo miliki madini yote ya Aridhini

    daah history nzuri.imeingia mahala pake nilkua najiuliza kwanin inaitwa williamson diamond!?asante mkuu
  5. al abry

    Mkapa: Kama kila Rais anakuja na mambo yake, hatuwezi yafikia maendeleo

    he is ryt in some extent..ila shida ya nchi zetu hizi hatuna dira ya pamoja kama taifa badala yake ilani ya chama ndo inaongoza nchi..
  6. al abry

    Ijue historia ya eneo la Kisutu Dar—1

    Historia in utamu wa aina yake..cc #festusmakerubi
  7. al abry

    Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

    Makambako vipi wadau..niliwah kusafiri na bus mwanza to mbeya tukafanikiwa kulala makambako tulifika saa sita usiku pale.hakika nilijuta[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. al abry

    Tafakuri

    Hahhhha umesema ukweli kaka
  9. al abry

    Huyu baba anafikiria nn kukunja sura nna hii

    Mshahara jomoni
  10. al abry

    Tafakuri

  11. al abry

    Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    mkuu ina maana zamani viongozi walipokua katika misafara yao gari la kiongozi husika ndo lilikua linatangulia mbele? kama ni hvyo bas ilkua kawaida gari ya mheshmiwa kugongwa na land cruiser ikiyokua inaendeshwa na mkimbizi wa south afrika.
  12. al abry

    Rashidi Mfaume Kawawa: Mtetezi Wanyonge aliyekuja kuwa Waziri Mkuu Na Alhaji Abdallah Tambaza

    Maa sha allah historia adhwiim hii..kuna haja ya kurejea vzuri mitaala zetu kuhusiana na historia ya nchi yetu katika harakati za kudai uhuru wa tanganyika...nahis kuna mambo mengi nje ya box..ahsante mzee wangu mohammed said.
  13. al abry

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Mzee una intrest na ishu uliyowasilisha.
  14. al abry

    Akimaanisha rest in peace my doughter.

    Ahahahha asante kaka
  15. al abry

    nahitaji Msaada wenu wanajamvi.

    Mie nipo intrested na kufanya kazi katika oil and petroleum industry hasa katika nchi za kiarabu.nahitaji msaada wa contacts au maelekezo yoyote kuhusu any trusted workers agency aneweza kuniunganisha bila kanjanja kwa yeyote anaefaham.napokea ushauri pia ahsanteni.[emoji7]
  16. al abry

    Zuhura Yunus Mtangazaji Wa BBC Swahili!!

    Ivona kamuntu azam two[emoji91][emoji91][emoji91]
Back
Top Bottom